Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari wadau Nataka ninunue Moja ya hizi simu hapa Samsung galax pocket S 5300 au Tecno N3 najua zote zina OS ya android Lakini sijui ubora wa kila Simu hapo naomba Maoni Yenu Wadau thankx.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenyu? Nahitaji msaada wa windows 8 kama ilivyo. Nipo dar, mwenye kuweza kunisaidia anicheki kwa 0769142586 au ni-PM. Ahsante.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mambo vp wanajf?kwawale wakali wa mambo ya simu naombeni msaada,maana nina nokia c6-00,naipenda kwa baadhi ya mambo ila kiukweli mara kwa mara imekua ikiniandikia maneno haya system error,mara...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
aliyekuwa na iwatch anauza nahitaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habaari, kuna mtu aliwahi post humu jinsi ya kutumia patch kwenye idm nilikuwa na hiyo setup lakini imepotea. naomba anayejua link ya kupata anatumie kwani nimejaribu ku search humu kwa kila namna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF,naomba msaada nina machine ya Dell laptop inspiron n 5030 nataka kuweka OS ya window XP, Nimeletewa ikiwa na window 7. 1.Naomba Kufahamu kama kuna DRIVERS ambazo ziko compatible na...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Here at Hosanna Higher Technologies, we love free and open source software. To raise level of Tanzania coders we will start new free project, a full Media Player. All basic design decisions will...
3 Reactions
85 Replies
7K Views
Nimejaribu kubrowse animated picture inatokea picha kawaida ambayo ni rigid!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
06/03/2013 Ulimwengu mzima kwa sasa kasi ya intaneti ni jambo la muhimu kwa watumiaji wa kompyuta, katika utafiti uliofanyika hivi karibuni unaonyesha kwamba Hong Kong ndio inayoongoza kwa kasi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
WAKUU, wALE WADAU WANAOSUMBULIWA NA KUKOSEKANA DRIVERS F'LANI KWENYE MADUDE YAO WAJARIBU KUSCAN,KUDOWNLOAD NA KUINSTALL DRIVERS ZOTE MUHIMU KWA PC ZAO KUPITIA SOFTWARE HII AMBAYO TAYARI IPO CRACKED
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wana JF. Samahani wakuu naomba msaada wa kuwapata hawa jamaa ambao wanatoa Domain za .co.tz, kama kuna mtu ana taarifa kamili mahali walipo pamoja na mawasiliano yao, naomba anisaidie kwani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WTS New Release BB TK Discovery,BB 10 Dev Alpha & Porsche P'9981 SPECIAL PINS FOR blackberry TK Victory,Blackberry Porsche 9881 and We also customise pin with your names....New Release...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikon D4 16.2 MP Digital SLR with AF-S DX Zoom-Nikkor 12-24mm f/4G IF-ED 16 GB Secure Digital (SD) Memory Card Large Backpack for SLR Camera Equipment Padded Case for Digital SLR Camera...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
March 07, 2013 | Forbes National security letters are the Fight Club of government data surveillance. Thanks to the gag orders that accompany those FBI requests for users’ private information...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Ikiwa imebaki kama wiki moja kabla ya uzinduzi wa Samsung Galaxy SIV, kuna taarifa kwamba simu hiyo itawawezesha watumiaji kufungua kurasa kwa kutumia macho, hili sio la kushangaza kwani Samsung...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ninatarajia kufanya research siku chache zijazo ambayo inahusisha kuwahoji watu kwa hivo ninahitaji kifaa cha kurekodi mahojiano hayo ambapo baadaye ninaweza kuyahifadhi kwenye computer na baadae...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau, mwenye Fedora 14 anisaidie niipate leo, hata kwa kununua. Please it's important. IM me.
0 Reactions
0 Replies
715 Views
siku chache zilizopita mpaka leo simu yangu imekuwa ikileta tatizo la kuishiwa na space kwenye memory card bila kuweka kitu. Yani unaweza kui free ikawa na MB 100 but mda mwngne inaisha hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu nina blackberry touch 9860 yangu ambayo jana usiku imezima ghafla na kuacha kufanya kazi yaani inarestart inaenda ikifika kati inaanza upya na hii imejirudia mara 20 naomba msaada...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom