Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wana jamvi naombeni msaada wenu simu yangu aina ya Blackberry 9630 inaji restart kila muda.... Ni kimeo au?? Tafadhaali msaada wenu unahitaji
0 Reactions
1 Replies
709 Views
hakuna mtandao tangu juzi hata kidogo... sasa sijui hawa "wataalamu" wanafahamu au wanakaa tu maofisini kupiga stori. Inakera sema sina wakumlamba kofi.
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Habari wakuu Msaada wenu kama kuna uwezekano wa kudownloaad music toka youtube. Na kama haiwezekaan ntapata wapi new music kiraahisi? Natumia simu Please help
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Tafadhali natumia laptop asus 64bit os,mudamwingi inakuwaipo connected ktk charge lkn kwa sasa inkuwa inapata moto,ijapokuwa ninatumia pia feni ya laptop ya nje lkn bado mashine inapata moto,je...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Guys katika pita pita zangu nkaona niwatafutie viwango vya internet ambavyo ni latest vya mitandao yote ili tuweze kuangalia wapi pa kuegemea. vodacom packages Hawa jamaa viwango vyao vipya...
9 Reactions
130 Replies
13K Views
msaada jamani wa ms office 2010 na licence key tafadhali,naihitaji sana kwa matumizi binafsi
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Natumina Note II ila natatizo moja play store haifunguki inalete ujumbe kila mara ikiload ''connection timed out'' ila samsung app inafunguka vizuri na kudownload apps naweza.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamani naomben maada wenu jinsi ya kutumia ipad 3 maana najaribu kurusha vitu kutoka kwenye pc..ila inasema device iko busy....wataalam nisaidieni kwa ili....awa apple...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wazee hii mouse inapatikana kwa bei gan?
0 Reactions
0 Replies
814 Views
habari wana jf nna hii huawei mobile wifi E5331 for vodacom nataka kuichakachua nitumie line yoyote kuna mwenye software ya ku unlock hii kitu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuta hii post kwenye hii website, nikaona ni vizuri kushare.... Africa Telecom & IT | African innovators need more government help
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Wakuu habari za sasa hivi, poleni na misiba ya maaskofu wetu. Wadau nina TV aina HISENSE na natumia decoder ya Dstv. Sasa hii decoder nimeunganisha Tv mbili moja chumbani na nyingine sebuleni. Ya...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
naombeni mnisaidie ni mtandao gani hapa bongo ni cheap kwa internet.na gharama zake zikoje
0 Reactions
34 Replies
3K Views
HABARI WAKUU? naomba msaada juu ya nini la kufanya blackberry yangu imegoma kufanya kazi ghafla...nikiwasha ina load mpaka mwaisho then ina stack kwa mda mrefu, kisha inawaka hapo inaniandikia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu naomba msaada jinsi ya kudownload apps kwenye google play kwa kutumia simu ya tecno n3. naona napata meseji kuwa device siyo compatible na apps.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau, naombeni msaada kwa mwenye camera ya Sumsung, nikitaka kurekodi video haichukui sauti, inachukua picha tuu, nimeangalia settings zote sijui ni wapi pameguswa. Msaadaaa mnijuze!!!
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Naomba anayejua anisaidie, simu yangu Nokia 5250 screen yake imegoma siwezi kufanya lolote wala siwezi kufika kwenye sehemu ya ku calibrate naomab msaada nifanyeje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau! Naomba kuuliza kwamba hivi kampuni za simu mfano vodacom au tigo wanapotaka kuweka huduma ya 3G eneo ambalo lilikuwa linapata GPRS au EDGE, je wanafunga kifaa chochote kwenye minara...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani wadau naomba kuuliza hivi karibuni nikiwa Mjini Morogoro nilikutana na mtu mmoja anauza Nokia 808 na I phone 4S na leo tena nimekutana na mtu Tanga anauza Nokia 808 na I Phone 4S. Sasa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
KATIKA PITA PITA ZANGU LEO NIMEKUTANA NA HII SITE, KUWA KILA UNAVYOZIDI KUWAALIKA WATU WAJIUNGE NA HIYO SITE UNA EARN DOLA MOJA NA MALIPO YANAFANYIKA KILA MWEZI KUPITIA WESTERN UNION...SIJAJUA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom