Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna baadhi ya websites hata threads humu nikifungua na simu yangu wananiandikia hiyo what is it and how to fix it?
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Sometime kutumia opera mini hasa kwenye simu ambazo sio smartphone na hazina multitasking ni boring sana, kuna vitu unakua unawish kufanya lakini huwezi kufanya kabisa au huwezi kufanya hadi uexit...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
History of Microsoft Windows Those days when computers were invented, their usage is possible only for some computer geeks or in respectful terms, programmers (but geek cool'na ). But today even...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
ninauza toshiba brand new haijatumika kabisa Ni Toshiba satelite c855-s5108 Specifications Intel® Core™ i3-3120M Processor 2.5 GHZ, Windows 8, 15.6" widescreen, 4GB DDR3 1600MHz memory...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana katika matembezi yangu nikiwa kwenye daladala nikitokea makumbusho kuelekea magomeni,nilipo fika maeneo ya komakoma-mwananyamala walitokea vibaka na kuchukua cm yangu niliyokua nikitumia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waungwana Kwenye Android phones kuna anti-theft software, nyingi zinapatikana bure. Hiyo ya Avast, ukishaifanyia Rooting, inajichimbia ndani hata wakiflash simu inabakia humo ndani. Je, kuna...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada jamani simu yangu ya blackberry imegoma kupiga picha kila nikijaribu inaload tu bila mafanikio.hii imeaanza baada ya kuwipe security:smile-big::smile-big:
0 Reactions
5 Replies
891 Views
nlikua Na Cracked IKaniuliza Ku Update!! hapo Ndo nkawa nmeharibu Kila kitu sO MWEnye Cracked Anisaidie
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu! Eti ni simu gani ambayo inakuwa na ile ya kurecord calls, yaani wakati unaongea na mtu unaweza kurecord conversation. Kuna zile Samsung za zamani E 250 zilikuwa na hiyo...
0 Reactions
4 Replies
983 Views
Wadau nina tatizo na Laptop yangu ina zingua sana inakuwa inazima na kujiwasha na kisha inaleta blue screen na maandishi mengi sna kisha ikitulia inafanya kazi wakat mwingine inaleta mistari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu laptop yangu nimenunua ina window ubuntu nimeshindwa kuweka windor 7 inakataa nifanyaje niweke window 7 ultimate natumia usb plz mwenye ujuzi anisaidie
0 Reactions
3 Replies
776 Views
laptop haina tatizo kubwa,natakiwa ku-install windows7 lakini ina tatzo la drivers,so inabd kuweka drive mpya. wap naweza kupata msaada huo na gharama zake zikoje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Simu Bora 2013 Mpaka Sasa Wakati kampuni mbili kuu zinazotamba kwa kutoa simu bora bado kutoa simu zao kuu za mwaka 2013, yaani Samsung Galaxy S4 na iPhone 5S/6, kampuni nyingine zote kubwa...
2 Reactions
55 Replies
14K Views
Kwa wale wenye bando za uhakika, unaweza fuatilia matokeo ya uchaguzi kenya kupitia citizen tv, online, http://www.citizentv.co.ke/live
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Are you in mainland (Tanzania) or island? Is there a 3G coverage in your area? Are you bored with limited data plans on mobiles? >>Change the plan.. Go unlimited at just 300/= Tsh per day! Write...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwenye nayo ani-PM faster iwe used not more than three months,au mpya lakini kwa bei nzuri.
1 Reactions
0 Replies
797 Views
Naomba anayejua freq za chanel za mambo yetu yale ya kiutu mzima.pia zinapatikana kwenye sat ipi?ila ziwe fta.natumia risiva strongmpeg4 4669x pamoja na astrovox hd
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina kama miezi 6 hivi nilibadilisha ps2 yangu ikawa inatumia flash drive yaani McBoot lakin juzi mashine imekataa kufanya kazi.... Nikiwasha inaonesha black screen
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Jamani sasa nimeiamini internet explorer 10 kwa speed ni noma kwenye windows 8
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu tv ya kwanza ilikufa kioo kilibadilika rangi na kuwa chekundu chenye mamistari fundi alijaribu kwa sumaku na njia zingine ikashindikana saiz nimenunua nyingine naona tena dalili zilezile za...
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Back
Top Bottom