Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ni baada ya akaunti husika kudai Generate Code, kitu ambacho kinanipa wakati mgumu. Pia napewa option nyingi ili niweze kuingia kwenye akaunti ya Facebook kisha niwe na access ya page yangu. Kwa...
0 Reactions
4 Replies
691 Views
Naombeni msaada wakuu site yangu imefungiwa facebook nawezaje ku fix tatizo hili ili facebook niwe nashare link kwenye page yangu na kwenye ma group?
0 Reactions
2 Replies
560 Views
Hawa jamaa wa Starlink wanasema mwakani wanaingia Tanzania. Gharama zao zipo namna. Kununua ungo na router na cables ni dola 500 hadi 600. Kama wastani wa 1.3 za kitanzania. Lakini lengo ni...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu salama? Miezi 3 nyuma nimebadilisha simu na kununua simu mpya ya Samsung S9+. Kawaida magrupu yangu yote huwa na yawake katika silent mode 'mute'. Ili kuepusha kusumbuliwa na muito wa...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Naomba kujua kuna utofauti upi kati ya kisimbuzi cha azam kile cha antena na kile cha dish?
2 Reactions
10 Replies
11K Views
Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu. Hivi ni kweli kuna application inayoitwa "Psiphon Pro" na huwa inatumika kupata Free Browser Internet? Nasubiri maoni yenu.
1 Reactions
51 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu? Kuna hii tabia mtu anaazima simu yako hafu anaingia mtandaoni kuperuzi Mambo yake iwe kubet au kuingia YouTube na kutumia MB zako, Mimi kwangu imekuwa kero naomba msaada nitumie...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update. Nachotaka kujua, Process ya updating inatumia GB ngapi? Naweza tumia simu nyingine...
0 Reactions
6 Replies
514 Views
Ninamiliki email ya yahoo,ila nilisahau password yake,na email niliyotumia ili inisaidie kurecover email sina acces nayo,pia namba ya sim niliyoweka ili inisaidie kurecover email ilipotea sina...
1 Reactions
3 Replies
929 Views
Vivo Y67 haishiki mtandao vizuri baadhi ya sehemu inashika sehemu zingine haishiki haswa haloteli ndo haishiki kabisa Naombeni msaada nifanyaje.
0 Reactions
2 Replies
910 Views
Kamouni inayomilikiwa na Tajiri namba 1 duniani Elon Musk, Neuralink Corp. imesema ndani ya miezi 6 itaanza majaribio teknolojia yake ya kupandikiza 'Neva za Ubongo' kwa binadamu. Neuralink...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwema wadau naomba msaada wa namna ya ku unroot samsung s10 plus
0 Reactions
2 Replies
488 Views
Amani kwenu waungwana, Aisee nilipoteza simu ikiwa na laini ambayo nilikuwa nimeunganisha kwenye e-mail address yangu kwa ajili ya verification. Kwa bahati mbaya wakati najaribu ku-renew ile...
2 Reactions
10 Replies
938 Views
Habari wakuu Naulizia portable power station kama hizi hapa chini za kuanzia watts 300 naweza kuzipata wap hapa bongo. Pia zinauzwa kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
541 Views
Wana jamvii salaam! Moja kwa moja niende kwenye mada, hapa ni TV ambayo ilianguka, ikapasuka kioo cha juu na display pia(kioo cha ndani) sasa je kuna uwezekano wa kupata spare zake kama ilivyo...
0 Reactions
6 Replies
456 Views
Habari na Heri ya Mwaka Mpya 2021! Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wanajf. Moja kwa.moja kwenye mada, Mimi naomba kujua njia ambazo zinatumika.kudukua mawasiliano ya simu za.mkononi, kwa mfano kwenye social media kama whatsapp. Nimejikuta mtu ana habari...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Back
Top Bottom