Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
msaada kwa anayeweza kukichakachua hiki kisoftware natumia s60v2 na IMEI yangu ni 355720027407513 natanguliza shukurani
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mdau aliwahi kuandika tablet ya google ya bei rahisi google nexus 7 sio vibaya tuka update zaidi kwa kuongezea tablet 2 nzuri zaidi kwa urahisi kuliko google nexus. amazon kindle fire Bei...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
wakuu habari mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya tekinologia hizi mpya,naombeni mwenye ujuzi anijuze, hivi ni kipi bora kati ya amazon kindle na ipad --je nikiwa na kindle ni kitu gani ntakosa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wapendwa naomba kujua ni sehemu gan napata ipad 2 kwa bei nzuri hapa bongo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau.! Na0mba msaada wenu katika hili, mimi nahitaji simu aina ya NOKIA EXPRESS MUSIC.... Na0mbeni Ushauri wenu ni aina ipi ya XP-MUSIC Ambay0 ni nzuri kwa ma2mizi yafuatay0.! 1...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
nataka niwe na uwezo wa kuona simu ikipigwa wakati line yangu ikiwa kwenye modem pia niweze kupokea...hii inawezekana?na kama inawezekana nafanyaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada cmu yangu nikifungua sehemu ya games inajiload afu baada ya sekunde kadhaa inajizima na nikichezea button inajirestart yenyewe xo nimeshindwa kuelewa hili ni tatizo gani na...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Amani iwe kwenu wana jamii forums.Nahitaji msaada wa simu yangu Sumsung e 2222.Nikitaka kutumia kuangalia VIDEO katika YOUTUBE inakataa kisha inaleta ujumbe ENABLE JAVASCRIP.Naomba mwenye kujua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada laptop yangu inajitengeneza folder yenyewe!! inajirename jina la ajabuajabu kama hivi "0d975b542127f3ca0ed43f4447af" ukiyadelete yanakuja maneno haya "You need permission to...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
High-Tech Bracelet Concept Phone Rollerphone phone is a high-tech phone, it features perfect ergonomics and anthropometry in design, Rollerphone also boasts of an enviable media centre. You...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu natanguliza shukurani kwenu. Nina nokia asha 200 na ninatumia line ya airtel nimeshindwa kuunganisha na internet.Ingawa kwa line ya voda unaandika neno Wap nokia Asha 200 unatuma kwenda...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu heshima mbele naomba mwenye kujua link ambayo naweza kushusha huo mzigo hapo juu bure anisaidie naitafuta sana Natanguliza asante zangu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa kuwa hivi sasa tuko katika wakati mgumu katika historia ya Danganyika kwenye suala la kupata umeme wa uhakika na ukizingatia tena bado tunatakiwa kuchangishwa zaidi (kupitia ongezeko...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
196.46.120.116 | Mail Server | Dictionary Attacker | IP Address Inspector | Project Honey Pot
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nimedownload whatsapp lakini confirmation inazingua niliamua kufanya configuration za net mwenyw coz ilishindikana kupata kutoka kwa server ni hilo tu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJF mwenye hiyo program naomba anipe wakuu. niliyokuwa nayo inaniletea error occured (nimeattch picha). usiseme sijafanya reseacrh nimeshatafuta humu ndani lakini sijafanikiwa. Mfano wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wadau wote. Tafadhari ,naitaji kufahamu APN ( ACCESS POINT NAME ) ya Airtel na Vodacom. USERNAME YAKE: NASSWORD YAKE : Plz, mwenyekujua taarifa hizi anijuze , Asante
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi Nimununua IPAD 3 nilikuwa nataka nitumie kwa ajili ya Business na office especially Spreedsheet je nitapata wapi hii
0 Reactions
0 Replies
751 Views
niwezesheni key wakuu,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada kwa anaejua namna ya kureset password ya Apple kuna jamaa wangu amesahau password yake Kwa anaejua pls
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom