Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
nisaidieni wakuu napata tabu sana ku-access programu fulani hv ofisini inayohitaji niwe na wireless connection
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna mada moja iliibuka na wahusika hawakufikia muafaka. Mzozo ulikuwa juu ya kifaa kipi kinatumia umeme mwingi zaidi pale kinapowashwa na kuanza kutumika. Je ni tv ya inch 21 au ile ya inch 14...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, hii ni moja ya njia za kuipa domain yako mpya urahisi zaidi wa kuonekana katika search engines. Haijalish kuwa ni .tk ama free domain yoyote. Bofya hapa na ujaribu. Njia...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Use these softwarez:just google,4disk clean gold 5.5,w32dasm,hiew32! Or google software name in search box with 94fbr mfano "adobe photoshop 7.0 94fbr" then search!itakupa link ya kudownload!enjyyy
0 Reactions
6 Replies
2K Views
G'morning members, Mara kwa mara computer yangu (Hp laptop) inadisplay "VER_DESCRIPTION" has stopped working, Tafadhali kwa anaejui maana yake na jinsi ya kusolve hili tatizo naomba elimu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu mtu yoyote mwenye kujua maduka ambayo yanauza lense au mtu yoyote ambaye anayo anijulishe kwa namba 0712 450 212,0712 450 412
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele,k wa wale wadau wa photography, ama cinematographers au lovers wa camera in general ama wadau wa nikon (a.k.a wapinzani), hatimaye Canon wametoa edition ya 6D, The Lightest and...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
naomba mwenye hii software tafadhali au link ya ku download for free...kama dsm nitakufuata kabisa ulipo..kama itashindikana ku attach..
0 Reactions
12 Replies
347 Views
Hapa ninapokaa tunatumia unit 18 kwa siku tano. Hivyo kwa mwezi tunaweza tukatumia zaidi 25,000 kwa mwezi tu. Cha kushangaza hatuna vitu vya kutumia umeme mfano heater, pasi tunatumia mara chache...
0 Reactions
28 Replies
8K Views
nimenunua bb 8520 used, nashindwa kutumia huduma za bbm na nyinginezo coz kuna password za mtumiaji wa kwanza kabla ya mimi na simfahamu je nifanyeje ili niweze tiririka..naombeni msaada wenu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni msaada jamani, kila napotaka kudownload kitu chochote kwenye simu yangu naambiwa invalid web setting. Hiz setting zko wap na ntafanya nin ili niweze kudownload? Thnx
0 Reactions
9 Replies
1K Views
natafuta shop lenye ipad 2 za bei nzuri ni wapi hapa bongo?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakubwa wadogo tulio rika HESHIMA MBELE. Wanajamvi naombeni msaada natumia simu samsung gt-s5230 tatizo lilipo nikwamba nikitaka kudownload application yoyote ile inagoma nakuleta ujumbe huu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi kwanza kabisa heshima mbele. wakuu ni wapi naweza pata RECEIVER aina ya ARISAT AR600 MPEG4 HD. Zinapatikana wapi na bei yake kama kuna mdau anafahamu zinapopatikana basi anisaidie...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fata link: Perform Everyday Tasks for Free | CatchFree
0 Reactions
0 Replies
775 Views
naomba msaada wa kupata full version yoyote ya capella software wana jf
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Natumia Hp Pavillion ambayo nimeinstall W7,lakini nikiiwasha ili kuitumia inakuwa nzito kustart na inapokuwa imewaka nikitumia ndani ya dakika 30 inakuwa imechemka hadi sehemu yote ya key board...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nisaidien jinsi ya kupata Hidden folder natumia window 7 profesional ni za muhimu sana
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nokia announced its first Windows Phone 8 devices on Wednesday at a press event in New York. Part of company's Lumia series, the new devices are Lumia 920 and Lumia 820. Nokia Lumia 920 is the new...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Back
Top Bottom