Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Google Storage Wametoa Offer ya bure kwa watumiaji wake someni hapo chini. For those of you who have been waiting to use Google Storage, we’re happy to announce that effective immediately, you...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
at tigo wana unlimited bundle...?
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Hi! The TCRA are winding up the analog communication and opening the gateway to Digital.. Am afraid of their readiness since only the TBC's, Chanel Ten and the CLOUDS are the only available...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wana jf heshima zenu, kwa kama siku tatu hivi nimeshidwa kununua bundles za voda hasa ile ya day100mb,kila nikiomba kwa kupitia *149*01# au sms kwenda 15300 jibu ninalopata ni service is not...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau mimi natumia gmail(window 7 pro), nimesikia kuna watu wakipata email wanapata notification ya kuwa wame receive new email kama sms kwenye simu......hivi inakuwaje?? vipi nitaweza kupata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
...katika pita pita zangu mtandaoni nilikikutana na post flani inaelezea jinc ya ku unlock hizi moderm za airtel..ZTE MF190 kwa ku upgrade fimware yake,lakini baada ya ku upgrade fimware sasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bwana Jacob Noel Urasa Mbunifu wa mfumo mpya wa mawasiliano ya computa ndani ya makampuni UJULIKANAO KAMA wfrobot erp AMESEMA mfumo huu mpya ni mfumo ambao una manufaa makubwa kwa makampuni na...
4 Reactions
28 Replies
8K Views
Bandugu iphone yangu niliiangusha sasa touch screen haifanyi kazi ila inawaka vizuri na cm ilipigwa inaingia ila tatizo ndo hili cwezi hata kupokea cm msaada plz.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani wadau. Naomba mnisaidie keys za iyo program Pc inakuwa slow sana.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kwenu wanaJF, Miaka kama minne iliyopita nilikutana na mtu ambaye laptop yake alikuwa amelock USB port. Yani niliingiza flash disk yangu ikasoma lakini nikaona nauliziwa password ili...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Wakuu msaada wa zte mf 190 modem haisomi line yoyote kwa sasa baada ya kuupdate firmware nyingine ilikuwa modem ya airtel
0 Reactions
3 Replies
4K Views
great thinkers laptop yangu,dell inspiron,window 7,ina shida,hapo mwanzo nilikuwa na play dvd na cd,lakini sasa ukiweka dvd haiitambui(mlango wa cd unafunguka dvd inatoka) ila vcd,cd inaplay kama...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Nimedownload program moja ya kulock folder inaitwa FOLDER SECURITY PERSONAL 4.2,baada ya kuinstall ndo mambo yakawa mambo.kila program ninayotaka kufungua napata hii message.''These files can't be...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
Wadau mm natumia BB curve.....nauliza kuwa kama ume delete msg kwenye simu ya BB...vipi naweza kui recover, au sehemu gani inakaa, hakuna recycle bin?
0 Reactions
1 Replies
851 Views
Bandugu vipi kuhusu maujanja ya kuconnect kimagumashi divice ka cm inayosaport Wi-fi kwenye area yenye wireles intrnt connctn. Nawasilisha!
0 Reactions
4 Replies
926 Views
Naombeni msaada jamani, kila napotaka kudownload kitu chochote kwenye simu yangu naambiwa invalid web setting. Hiz setting zko wap na ntafanya nin ili niweze kudownload? Thnx...(nokia 2730 classic)
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Wakuu natanguliza salaam.Wapi naweza pata kwa bei nzuri Battery hiyo hapa Tanzania au kununua nje wanaoweza kunitumia,natanguliza shukurani.Naomba mni PM au rakeyescarl@yahoo.ie(sio yahoo.com)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani kama kuna yeyote anaejua software hiyo naombeni jamani
0 Reactions
1 Replies
946 Views
Most people don't realize that Facebook (FB) can continue to monitor their internet activity, even if they are no longer logged into the site. Using "Facebook Connect," and other social plug-ins...
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Nisaidieni sana
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom