Jamani naombeni msaada wa link ntakayoweza kupata dashboard ya huawei, nataka kuchakachua modem yangu ya huawei ila sina dashboard na nimeshindwa kuipata, ahsanteni sana
Jamani naombeni msaada wenu laptop yangu ilikua na tatizo la display nilimpelekea fundi lakini amenirudishia ikiwa mbovu zaidi inadisplay msg inayosema UNSUPPORTED WIRELESS NETWORK DEVICE...
Habari za wken wakuu?Jamani naombeni msaada kwa anayejua fundi ,nina camera aina ya nikon coolpix nilimuazima mtu kunirudishia nikiwasha inawaka fresh nikipiga picha inazima hapo hapo,,ina charge...
After an initial reluctance, Uganda will now follow Kenya by blocking counterfeit mobile handsets from accessing telecommunications networks.
Citing a loss of tax revenue and the lack of safety...
Wadau nímenunua laptop mpya kama miezi miwili iliyopita,laptop ilikuja na antivirus ya Norton,sasa wananiambia kwamba antivirus yangu imekwisha na naitaji ku renew doller 84 kwa hiyo...
Niwashukuri wakuu na MUNGU wangu awape nguvu, naomba mnipe msaada me binafsi namiliki laptop ya enzi hizo Dell latitude D620 na ina sifa zifuatazo Processor 2GHz, 40 HDD,1GB RAM sasa basi kutoka...
1985 Windows 1.0
The First Version of Microsoft Windows, Windows 1.0, with simple applications and the concept of multitasking on PC
1987 Windows 2.0
The Second Version of Windows, Windows...
wataalam naomba mnielekeze jinsi ya kurestore task manager kwenye computer coz imesababisha hata antvirus haifanyi kazi na baadhi ya task zinakwama kufanyika
Nina elimu ndogo ya darasa la saba lakini nataka kujiendeleza kitu kinachonitatiza ni muda siku nzima nakuwa kazini. Sasa nataka niwe najisomea usiku ili nifanye qt sasa naomba ushauri ninunue...
Yaani nilifungua computer yangu kwa ajili ya kufungua internate ikaniandikia (local area connection) this connection has limited or no connectivity . You might not be able to access the...
C6 na wenzake walinishauri nibadilishe muonekano wa bongobest, na mi nikaitikia wito wao BongoBest Community
Sasa naomba wa review afu wanipe any further suggestions
The United Nations Economic Commission for Africa (ECA) and the African Innovation Foundation (AIF) are delighted to announce the call for applications for the 2013 Innovation Prize for Africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.