Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari zenu wanajamii,naomaba kuuliza kuhusu modem gani nzuri interms of speed na amabayo ni rahisi ku unlock.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
5 GHz Downlink Throughput - 40 MHz B/W ASUS RT-N66U 66.5 NETGEAR WNDR4000 59.6 Cisco WAP321 57.6 ASUS RT-N56U 56.9 D-Link DIR-665 54.8 At A Glance Product ASUS RT-N66U...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari friends, Nlikuwa naitaji tablet, lakini tab ambayo nimeipata kwa sasa ni playbook ya blackberry, ambayo inatumia wifi tu..so napenda kufahamu kama kuna mdau yeyote anayeitumia hapa tz na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Update 11/17/10: Added WMM to Fix #4 Update 7/22/10: Removed Draft references and updated Fix #4 Update 6/27/10: Fixed links Update 11/23/09: Added Link to LAN Speed Test and link to Brothersoft...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anahitajika kama vp ni PM nikuunganishe na boss.
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Nimeona kwa muda sasa microsoft wakiwa wanaitangaza Microsoft Office 2013, Jana wamenitumia email iliyokuwa na preview ya hiyo office wenyewe wanaita microsoft office 2013 preview 365. Nimeinstall...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau naomba mnisaidie link ya kudownload direct ps2 game via idm
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu nataka niwe na speed ktk kutype hapo mwanzo mwalim aliwah nifundisha kutype kwa kuweka vidole moja kwa moja katika keyboard na kutoangalia moniter wakati wakutype. Na pia kuna njia yakutype...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari zenu Ninatatiza na laptop (PC) yangu, my softwares hazifunguki direct, inancommand ni (open with) almost all software. even icon zimebadirika they look like the same (same icons) in...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu,mimi na mzee wangu 2po njia panda tununue gari gani kati ya harrier na noah new model.mimi nasema harrier yeye anataka noah. Je tununue ipi ambayo ina kiwango kizuri? NAOMBENI USHAURI.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Amani kwenu wadau!..natumai wote ni wazima na mnaendelea vyema na majukumu! nahitaji msaada kwa yoyote anayefahamu zaidi juu ya T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business anipe shule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi!nmekuwa natafuta program ya 1.kutengeneza ka2ni 2.kutengeneza card jwa muda mrefu bila nafanikio naombeni msaada
1 Reactions
24 Replies
12K Views
Hey, where is a good place to buy a laptop in Tanzania in general and Moshi/Arusha specifically?
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Hi All, Kindly assist on how i can create batch file which will copy file from one location to another at a certain time. The files are always change everyday(dates) Asanten
0 Reactions
1 Replies
802 Views
Wadau , Computer yangu aina ya Dell Insipiron mini 1018 niliinunua ikiwa installed windows7 starter (version ya 2010) baadae nilimuazima jamaa mmoja lakini baada ya kuirudisha ikawa ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika pita pita yangu katika maduka ya electronics hapa mjini nimesikia stori za baadhi ya wauzaji hao wakidai eti vin'gamuzi vya star timez vinachakachulika na kuweza kunasa hata zile channel...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
window phone 8 hiyo itakua kama picha inavoonesha Kuna vitu vipya ambavyo wp8 wamejitahidi kueka ambavo kwenye ios na android hawajafkiria kua navyo arched...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hiki ninauzwa ila kuna sites zinatoa bure kama hii: DOWNLOAD THE BOOK HERE... http://www.antitheists.co.uk/resources/TheHackersUndergroundHandbook.pdf
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu, Kuna masomo nachukua online ila yamekuwa presented kwenye powerpoint.Naomba msaada wa namna ya kudownload. Ni hayo tu.
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Specification zake ni kama ifuatavyo: Pentium 4, ram 512 mb, processor 1.66, hard disk 40 gb, dvd rom and compact disk re-writable monitor ni flat screen ukubwa ni nchi 14. Bei yake ni laki 2 na...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Back
Top Bottom