Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
helow wana jf ni jinsi gani ya kuondoa restriction code kwenye nokia 2730c au ndo mpaka kuiflash??? i need u r help pliz.......
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, nakuja humu JF kwa imani nitapata ninachokihitaji. Natafuta computer (latest) kwa matumizi yangu ya kawaida. Pesa is not a problem. Mimi ni lecturer wa chuo kikuu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NINAPO SEARCH NETWORKS KATIKA KA SIMU CHANGU KUNA NETWORK INAKUJA IMEANDIKWA 64001 3G NDO NETWORK PEKEE YENYE 3G ENEO HILI, NAOMBA KUJUZWA KUA NI NETWORK YA KAMPUNI GANI SABABU HIVI VI 2G VINALETA...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
I deactivated my facebook account three weeks ago ila nataka ku activet tena, inagoma, please anyone knowing how to activet it help me.
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Mtu yeyote mwenye shida na Bios password ktk Dell aina zote na Hp Compaq aina zote awasiliane na mimi kama yupo nitampa mawsiliano nitahitaji kwanza vithibitisho kama laptop ni ya kwako,badae...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu,salama Nilitumiwa Blackberry na rafiki yangu yuko USA,nimejaribu kuweka line za hapa bongo bdo inaniambia ni insert Sim Card Nifanyeje niweze kuitumia watalam wa mobile Phone naomba msada wenu.
0 Reactions
3 Replies
844 Views
Wakuu naomba ushauri kutokana na uzoefu wenu. Ipi ni the best katika categories zote mbili ya kununua na ya bure (free)?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada wenu wakuu,naombeni mnijuze software ya kufungua RAR FILES,PLEASE!
0 Reactions
3 Replies
890 Views
Ndugu waislamu here is a wonderful Adhan application kukujulisha muda wa sala na muito wa Adhana(works on window mobile, symbian, blackberry and indeed most phones) seti tu mji ulipo baada ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie,nimebadilisha version ya Simu yangu(iPhone 3G) kuwa 4.2.1,ila siwezi kubadilisha ringing tone,natumia za Simu tu.Na haiwezi kuchukuwa video.mnisaidie wakuu
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Wakuu naombeni mnielekeze ni wapi hapa dar nitapata used LaserJet Printer hasahasa ya HP na Photosmart ya HP nipo katika hitaji la haraka naombeni mnielekeze wapi pa kupata vitu hivi. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Wataalam naomba msaada..kamera ya specifications hizo hapo ni nzuri? Na je kwa bei hiyo ni reasonable? Thanks
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu natumia iphone 3gs sasa nilikuwa na update ios baada ya kumaliza ikaja hiyo error msaada kwa any one ambae anajua how to fix this error
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kila nikifanya installation ya Microsoft Office 2007 ent napata error 2203 halafu inaacha kuendelea tatizo ni nini nimeformat computer lakini wapi ila office 2003 inakubali, msaada nimezoea...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkolon and tcoal9 Salaam wakuu na wengineo ambao watakua na utaalam wa tatizo langu. Nina externa Hard disk, kila ninapoiweka kwa laptop inadai BitLocker password. Nimehangaika sana katika net...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Read the full article at knowcache.blogspot.com ,Tanzanian Information Technology Press
0 Reactions
0 Replies
596 Views
The computer virus, known as Flame, was discovered by Kaspersky Lab, a Russian cyber security software maker that took credit for detecting the malicious computer code, Reuters reported...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Mambo Vipi wakuu? Hard disk yangu ilipata virus sasa Baada ya kuscan inaonesha iko full but nikifungua Kuna only 2 songs.......... Msaada Please
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau naomba msaada,deki yangu ya DVD imegoma kuwaka ile sehemu inayoandika NO DISC AU DAKIKA wakati cd inatembea.Ukiwasha moto unaingia lakini hiyo sehemu imegoma kuwaka na hivyo deki haifanyi kazi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naombeni configuration settings za Tigo ili nijiunge na internet kwa simu ya kichina.. inlude: APn: Primary Dns: Secondary Dns: Ip address: Thanks
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom