Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
naomba nifahamishwe inakuaje momory card inaukubwa wa 1GB bt nimetupia nyimbo kumi tu inanambia memory ful,tatizo nini na ninatatuaje
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini watata wenzangu wa Tech!Kumekuwa kuna watu wanadai kuuza line zenye free internet na wengine kudai kwamba hizo line ni zile zinazouzwa mitaani kwa sh 500 ama 1000 na ambazo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa maelezo 2taftane tuongee biashara nmedownload mpaka nmechoka
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Saluti kwenu wanaJF.Nina Nokia 2700 classic, tatizo nikitaka kutizama video online hasa toka U-tube na kwengineko, inaniandikia neno; 'nothing to display'. Nimejaribu kutumia mitandao tofauti...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Wakuu naomba mwenye finance solution program na Ms sql number zake anisaidie
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Asante kwa atakaye nisaidia
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Habari wanajf. Nipo ktk kujifunza coding na sasa najifunza html. Ili niweze kuimaster vizuri nimeshauriwa nifanye mazoezi ya kina kwa kutumia HTML Editing Tools, Dreamweaver etc. Kwa vile sina...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wakuu nina printer hapa, hp deskjet 2050A....Ni mara ya pili sasa nanunua catridge na zinabuma baada ya muda mfupi<hii ya pili sijafikisha hata copy 100>, Je ni kawaida yake huo ubovu au kuna...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
wakuu hapa jamvini naombeni mnielekeze hapa dar nitapata wapi vitu hivi kwa bei rahisi LCD Monitor Graphic Card 512MB RAM DDR 2 2GB Hard Drive 1TB Nina Dell yangu Optiplex GX 620 nataka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wanajamii, nashukuru kwa msaada wenu kwani nimephanikiwa kurestore software ya simu yangu ya iphone. ila sasa kuna tatizo moja , kwamba inakataa sim kadi inaniambia kuwa haisapoti. je, kuna msaada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
salamu wakuu.....!! najua wadau wote mnapatikana hapa>>> airtel kama inawezeka...kwa sisi watumia wakubwa na internet....twaomba kama mtu ukitaka kuongeza bundle ....uweze sio mpk uliweka...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mtu yeyote mwenye proxies zenye resume capability naomba azitume humu. Proxies pekee zenye resume capability nilizokuwa nazitumia ni za Epic Tunnel, lakini naona zimekuwa blocked.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina video katika FLV format. Je, niweke katika format ipi ili ni-burn katika CD? Pia, software ipi nitaweza kuitumia kuipele video katika format husika? Ninatanguliza shukrani kwa mchango wa mawazo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
una simu zao za mezani hivi sasa ukiweka vocha ok ,ukiactivate bundle ok. lakini ukicconect intenet.yaja sms ...check your modem configuration .je kuananini? huko sasatel
0 Reactions
1 Replies
639 Views
Wakuu naomba msaada wa Activation key za Bitdefender 2012&#8203; kwa mwenye nazo. natanguliza shukurani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu naomba mwenye program ya FINANCE SOLUTION na key zake au hata maelekezo ya namna ya kuipata.
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Naombeni msaada wakuu kila ninapotaka kuaccess camera yangu kwenye blackberry inaniambia 'close other application' sielewi ni application zipi?kwani wakati huo naamini kuwa sijafungua application...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
naomba msaada wakupata adapta ya laptop,naweza pata wapi? nakwa shilingi ngapi?
0 Reactions
6 Replies
953 Views
Dvd' containg training for AutoCad 2012 in video format. Also available training for Revit Architecture 2012 and ArchiCad. Call:0713013249
0 Reactions
3 Replies
748 Views
Well, maybe a couple of bags of chips with your favorite diet drink. Raspberry pi have brought forth this morning their flagship computer sized as a credit card (maybe a little fat though) that is...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Back
Top Bottom