Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wa kuunganisha simu hi na internet ya airtel(zain)
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Yaan hapa wilayani magu kuna mnara wa cm (voda), lakin masuala ya Net Yanasumbua kweli, eti net inakamata upande wa kusini 2, wale wa upande wa kas' wakitaka kuaccess lazma waje kus, yaa ni ovyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari rafiki! Baada ya kuinstal windows7 kwenye machine yangu kuna baathi ya drivers zinakosekana ambazo mimi sizifahamu kiasi kwamba baadhi ya magemu hayaplay pamoja na baathi ya application...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jf naomba mnisaidie machine yangu gateway imeistal window 7 ultimute driver zote zinaonekana zimeingia hadi webcame lakini siioni shortcut ya webcame kwenye machine kama kuna mtalaamu anielekeze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimenunua modem ya vodacom k3570-Z lakin inagoma kuconnect internet baada ya kuinstall,msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ninaombeni msaada wenu wataalamu wa simu zamikononi. Ninataka kujifunza jinsi ya ku unlock simu, kuflash na kurepair software za simu kwa kutumia software na tools mbali mbali. Ninahitaji mtu...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Jamani natafuta wataalamu wanaouza SIM card za free internet. Mimi nakaa dar, naomba kama unajua mahali zinapouzwa nijulishe kwa PM nitakutafuta. Au kama unajua jinsi ya ku-hack line iwe...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
www.mitandao.pkrack.tk/index.php Wakuu pitieni hapo juu na mnipe maoni yenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:washing:wadau ninaomba ushauri kuhusu web browser ninayotumia ni mozila Firefox,inanisumbua kutokana na ukifungua email inakataa kusain out hata facebook ni hivyo hivyo.
0 Reactions
0 Replies
708 Views
wakuu there is no doubt when it comes to mobile phones Nokia runs the market. sasa recently they have released this phone nd guess what? it has 41 megapixels. this is huuuuge,cant wait to see it in TZ
0 Reactions
2 Replies
968 Views
naomba kujuzwa modem ya kampuni ipi inaweza kuwa flashed? nanitaweza vipi kuiflash ili iweze kutumika line za mitandao yote?nisaidieni
0 Reactions
4 Replies
804 Views
wakuu kama kuna mtu ameshawahi cheza hii game naomba msaada wa game walkthrough kwenye mission ya mwisho (base demolition) kwenye how to escape. aisee am stuck in this mission for like 3weeks...
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Jamani siipati jf kwny bb yangu ila kwenye samsung naipata. Tatizo nn
0 Reactions
4 Replies
809 Views
Wakuu wa jf naombeni msaada wenu, nahitaji AC mpya ambayo ni less expensive zaidi ya zote sokoni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Channel hiyo iko kwenye list ya channels nilizo nazo lakini iko locked hadi niingie mfukoni. Nifanyeje kuifungua?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina mafaili(forders) kadhaa kwenye laptop yangu,nataka kuyaifadhi kwenye DVD kwa sababu mbalimbali lakini kumbuka DVD mwisho wake huwa ni 4.7GB.Yale mafaili siyo VIDEOS. Ninaomba ujuzi wa kuweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuanzia kama saa tisa hivi mchana wa leo sikuweza kupata access ya my favourite networks (jamiiforums, BBC, nufc, CNN, na times in that order). Baadae network ikarudi ila BBC wana report kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nina mpenzi ambaye natarajia kumuoa mwishoni mwa mwaka huu Mungu akipenda. Hata hivyo kuna vijimambo vyake sijavielewa kabisa nahisi kama nadanganywa vile (kiswahili lugha maskini sana...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
wakuu vipi kwema?????ebana naombeni msaadsa hapa, hivi ni computer zote zinakua na bluetooth?? Mimi natumia sony. sasa nashindwa kujua kama hii inayo huduma ya bluetooth au la, msaada wenu jamani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom