Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Je, zinafanya kazi baada ya kuchomeka ATM CARD Au muda wowote zinafanya kazi? Sina nia mbaya kuna rafiki yangu aliingia ATM akakuta hela mtu alitoa lakini ilichelewa hadi huyo mtu akaondika sasa...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Nina tatizo la network hapa nyumbani kwangu maeneo ya sebleni kwangu na chumbani kwangu ambako ndiko natumia internet. Sasa kuna sehemu ya nje ni kama kibanda kisicho na...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari za wakati huu ndugu wanajamvi pendwa la Technology. Mimi ni Mtu ambaye napenda sana kuandika na kusoma mambo mbali mbali hada mtandaoni. Nikiwa chuo mwaka wa Kwanza 2013, wakati nafundishwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu. Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu na Wana Jamii Great Thinker naombeni kujuzwa hii company bado ipo ? Au walishaifanyia figisu figisu, USA.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kampuni kubwa ya Kijapani HITACHI imetengeneza chip ndogo kabisa na nyembamba Zaidi aina ya Radio Frequency Identification (RFID) iliyopewa jina la utani "Poda" au "Vumbi". Ina size ya milimita...
3 Reactions
10 Replies
811 Views
Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani Nawezaje kusolve tatizo hili CC.Chief...
0 Reactions
6 Replies
453 Views
TAFADHALI ZINGATIA MADA HUSIKA NA UWEKE PICHA SAHIHI Natamani kuona home screens za simu za member wa JF zinaonekanaje.Una manage vipi home screen ya sim yako?unapangaje vitu au unaweka weka apps...
1 Reactions
246 Replies
24K Views
Hapa nazungumzia simu ambayo ukipiga picha, iwe kwa front camera ama real camera kitu inatoka o.g, yaani kama uhalisia, ukisema hii ni camera, iwe camera kweli kweli! Na pia simu ambayo display...
5 Reactions
53 Replies
8K Views
Wakuu habari za muda huu poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika jukumu la kujenga familia na taifa kwa ujumla. Moja kwa moja niende kwenye swali langu naombeni msaada najua hapa kuna manguli...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Habari wadau, Mimi hata sitaki maneno meng in short ni kwamba nina kaz kubwa nataka kuprint ila uwezo wa kumudu wino wa laki 7 sina naombeni msaada wapi naweza kupata wino fake Natanguliza...
1 Reactions
4 Replies
585 Views
Naombeni msaada mimi ni muhitimu kidato cha nne Naomba kufahamishwa chuo kizuri kwa kusoma ICT na gharama zake zipoje
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada watabe wa hizi mambo. Nimekutana na hii kitu online, Je kitanisaidia? Nimesita kidogo kutokana na bei yake nahisi kama ipo chini kidogo, Msaada please.
1 Reactions
68 Replies
5K Views
wakuu habarini samahan naomba msaada ipi bora kati ya certified google android tv vs tv box zinazotumia android ya kawaida ya simu interms of uwezekano wa kusideload aplication kutoka google...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za mida wakuu, Kama kichwa kinavoeleza naomba kijua jinsi gani naweza tengeneza mfumo wa malipo kwa website yangu.
0 Reactions
4 Replies
613 Views
Wajameni Hisense yangu haileti picha na ina miaka 2 tu tangia ni nunue Bila shaka hii burand ya Hisense ni Chupli Chupli au kuharibika kwa kawaida tu huku ? Wajameni wadau wa Tech
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wapi naweza kupata setup ya efootball 2022?
0 Reactions
3 Replies
569 Views
katika pitapita na mahangaiko kutoka maeneo tofauti tofauti huko mitandandaoni nimepokea malalamiko kadhaa kutoka kw wasomaji wetu kuhusu seebait je ni matapeli au wamefilisika, naam ili inatubidi...
0 Reactions
1 Replies
614 Views
Guys mambo vp, Ishu iko hivi huwa napenda kurecord mazungumzo ninayoongea kwenye simu automatically kwa matumizi ya baadae, hasa sometime mnakubaliana na mtu jambo fulani unaweza kurecord kama...
2 Reactions
17 Replies
874 Views
Hello watu kazi. Naombeni msaada nawezaje kufanya group call ya WhatsApp kwa participants zaidi 30? Nina group kubwa la wajasiriamali sometimes tunahitaji kufanya mjadala, tunashindwa kwa sababu...
0 Reactions
3 Replies
729 Views
Back
Top Bottom