Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri,
Kwa mwenye uelewa kido ni wapi naweza pata mechi zote zilizochezwa toka liki kuu ya Tanzania bara toka imeanza hadi sasa. Iwe kivyovyote vile au katika mfumo...
Habar ndugu zang wana JF,
Naomba msaada wa kitaalam kuhusu chongamoto iliyotokea kwnye simu yang aina ya Samsung S7 edge.
Ni kwamba ilitokea tu siku moja, nikijarib kupga picha Camera haifunguki...
Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie.
Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu...
The Machine Gun Wielding Robot Of The Nigerian Army
This UGV (Unmanned ground vehicle) can carry food, water, ammo, and of course a .50 calibre machine gun. Troops control it with a simple tablet...
Hi,
I am a beginner in Python and was facing some issues with the topic frozenset() in Python, I also referred here but couldn't get what I was looking for and am still confused with this - I...
HP ELITE BOOK G3
RAM: 8GB
STORAGE: 250SSD
PROCESSOR: Core i7 6gen 2.8Ghz
TOUCH SCREEN 14"
O.S : Windows 10
Location - DSM
Price: 800k
Still Working and in Good condition.
Serious buyer call...
Wakuuu salaam. Simu yangu ni infinix hot 8. Ina mwaka mmoja tu tangu niinunue. Hapo kabla ilikuwa iko vizuri tu Ila Cha ajabu ilianza kugoma ku connect Bluetooth . Mwanzoni nilikuwa nacheza nyimbo...
Habari wana jamvi,
Naomba ushauri juu ya simu yenye Camera nzuri kwa ajili ya kupiga picha za biashara/kazi. Nina Salon ya kike inahusika na make up, kucha na ususi wa nywele.
Kama mnavojua...
1. Friendly Ig ;hii app inakupa uwez wa kuperuzi(surfing) on Ig bila automatic video play na inakupa uwez wa kudownload picha Mnato na tembezi:utasevu Sana
2. Quora:ni app inayokupa insights mbali...
Hiko kifaa ni saparet meter maswali yangu ni haya,,
1/ Nikinunua, kimoja kinatumika, kwa, mpangaji mmoja tu?
2/ Kama ni kwa, mpangaji mmoja tu je ile buku ya kila mwezi nikitaka kununua, umeme...
Wataalamu wa mambo simu yangu Samsung imejiweka kialama cha funguo kwa juu huku upande wa inapoonyesha betri.
Siwezi kushusha skrini ili niwashe data, torchi etc. Wataalamu wa mambo msaada wa...
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tz
Wakuu naomben msaada kitu kimoja,Ni hivi mimi napenda niweze kutengeneza game la kwenye simu ila shida ni kuwa sijui coding wala nini, ko naomba mnaojua...
Wanajamvi naomba msaada:
Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock...
hey guys ......
Thefreedom is here ........
leo nipo hapa kuwaonesha na kuwafunza hasa kwa wale watanzania wezangu ambao hawana kabisa knowledge na hacking. Sasa leo nimekuja kuwafunza kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.