Hellow JF!!
Umeshajiuliza kwa nini NOKIA hawajaruhusu uwezo wa kucharge simu zao kwa USB cable?!!
LOh...Ukiwauliza wao wanasema kuwa ni kuwa Hawaamini Computer,na voltage zaweza change...
Salute.
Nili google AVG free antivirus na Avast nikapata lakini nilipokuwa na download baada ya kudownload AVG ikawa inadownload Cnet.
Sijafaham kwa nini ilikuwa inadownload Cnet na nafanyaje ili...
Habari zenu wanateknolojia,
Ni hivi nimehangaika mpaka nimefiakia hapa lakini baada kuziupload file zangu ziweze kutambuana na database,niliitumia index.php hii hapo chini ambayo nimepewa na...
Enyi wadau wa sub-forum hii ya technology ni vizuri tukawa tunajulishana kama solutions mbalimbali zilizotolewa na wadau humu zimesaidia kutatua matatizo husika. Kwa mfano kama ulikuwa na tatizo...
Hellow wanajamii wenzangu wataalamu!!
Tatizo langu ni Umeme wa tanesco kuwa mdogo, nadhani ni eneo zima ninaloishi so hii inanipashida sana kwa vifaa vyangu vya umeme.
Nina flat tv 32 inch...
Kutokana na usumbufu nliokuwa naupata wa kuungaunga downloads,nikaamua kufanyia ka research hii kitu ya kukosa 3g signals ukienda mbali na mjini tu.
Najua inawakera wengi but before we go...
Could be useful for beginners in Tech....
Product Specifications:
Takes the ordinary keyboard and gives you three different ways to use it, making it great for one or two finger typists
Press...
Wakuu, niliona software flani sehem, sadly i lost the link!
software hiyo inawezesha kumpigia mtu bure (gharama kidogo ya data) kupitia simu yako ya mkononi. Mwenye ujuzi na hi kitu anifahamishe...
Kesho twategemea kuoneshwa icloud services tetesi zinasema yaenda sambamba na itunes na twaweza kupakia vitu hewani kama apps na muziki bila kuchomeka na USb. Hiyo itakuwa kivution, halafu nazani...
No offence ndugu,nimejiunga juzijuzi tu hapa ili na mimi nimwage sumu zangu kama ifuatavyo...wengi mnaijua hii njia na wengi hamuijui.
Mahitaji:
1.Mozilla firefox browser
Firefox web...
Katika vitu ambavyo vimeshika vichwa vya habari za TEHAMA wiki hii ni pamoja na kuzinduliwa kwa iCloud -- huduma ya cloud computing kutoka Apple.
Najaribu kufikiri ni kwa namna gani nchi zetu za...
haya soon
we will b having solar laptops!!!!hahahah,,
imagine world free from tanesco kero for users watakaotumia this kind of laptop
The worlds of computers and the environment usually do not...
wakuu,
nimepata software ya kurekodi maongezi yote ninayofanya na marafiki zangu automatically ila ni 14 dayz trial,naomba kama kuna mtu ana activation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.