Heshima mbele wakuu!wajamen naomben kuulza,kuna ndugu yangu mmoja ana a/c kwenye bank ya crdb,kakuta kias kikubwa cha akiba yake hakipo,sasa akajarbu kwenda kwenye bank husika kuomba bank...
Wana JF, kama thread hii ilivyo, flash yangu haifunguki ila inatoa alert kuwa " The disc in drive D is not formatted, Do you want to format it now? nimestuka kwani najua risk ya kuformat ni...
WanaJF mambo vp? Kwemaaa?.Jamani naombeni msaada kwenu wa nini cha kufanya na ni mahitaji gani ya muhimu yanayotakiwa.Jamani ndugu zangu ninahitaji kuanzisha kituo cha radio cha kurusha matangazo...
Hi JF members, ninauelewa wa kati kwa kutumia excel MS na nimeshawahi kusikia kuwa its possible to make software using excel MS, wadau naweza kupata notice/ maelekezo ya kutosha ili kutengeneza...
Wakubwa,napata shida sana kutumiwa message zisizo na maana hasa zinazopitia Spam badala ya kwenye Inbox ktk e mail.Awali nilikuwa nimei-OF ili nisizipate kwenye e mail yangu lakini bbaadhi ya watu...
Nina Server DELL PowerEdge 1600sc ina Windows 2000 Server. Ina several hard disks ambazo zote nimezipatition including Health (Active) Basic Primary Partition,(Drive C & I ni hard disc MOJA) lengo...
Ilishawekwa jamvini kipindi cha nyuma. Inafanyika Dar June 4-5, deadline ya ku request participation ni May 31. For more details follow this link: Mobile and Web Technologies for social and...
1. Kuhamisha namba za simu kutoka kwenye phonebook kuhamishia kwenye computer na kuzitoa kwenye computer kurudisha kwenye simu? (hii ni kutokana na kupoteza simu na kupoteza contacts muhimu
2...
Nimeandika html form yenye Name,Email and iquiry(textarea)
sasa nataka ku validate form hiyo kutumia Javascript .
Najaribu without success.Then nikiweza nitumia tena php kuvalidate
Share your...
Kama uko Dodoma kuna mtu wangu anatafuta lap top yenye uwezo mzuri mfano iwe na 1GB of ram na Hard Drive yenye storage kuanzia 60GB kwenda mbele.
Ametoa laki 3.
Jaman kama kuna mtu wa kihivyo...
wadau wa jamii forum.
ningependa kujua kama kuna mtu mwingine ambaye ana blackberry ambayo its under verizon, or at&t storm 2 9550 kama anaweza kupata any BIS service either through vodacom...
Kompyuta yangu inatumia windows 7. Wiki iliyopita iliniletea meseji inayosema WINDOWS 7 BUILD 7600. THIS COPY OF WINDOWS IS NOT GENUINE. Baada ya meseji hiyo kutokea, ghafla screen ilibadilisha...
Habari zenu wanaJF?
Naomba kupata video tutorial za jinsi ya kutumia Visual studio 2010 na NetBeans 7, effectively.. Kama una link au unazo mahala popote please naomba msaada wako..
Nataka...
Wana taaluma ya IT JF,
Wasaalam, nimeandaa tool moja kwenye excel kwa ajili ya matumizi ya kifedha, sasa nimecreate collum inayoonyesha kama utazidisha matumizi basi matokeo ni kuwa jibu litakuwa...
Salamu wakuu..ningependa kufahamu kama the new tiGO internet iko fast and reliable as they say it is because nikicheki the service wanayonipo on my phone naogopa kuinunua. I know wana advertise...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.