Wataalamu wa Teknohama, naombeni msaada wenu katika VB 6.0, ninataka kudevelop program flani hivi.
Sasa nataka mnisaidie codes za kwenye Login Form, kwa kutumia maelezo yafuatayo:-
1. Nina...
Nimemalaiza shahada yangu ya ICT , kwa sasa nataka nijendeleze zaidi kwenye prof. courses, natamani niwe na OCP kwa kuanzia, nimesoma na ninaelewa oracle 10g Administration part huko kenya...
Wakuu naomba msaade kwa haya yafuatayo
1. Wakati na access mtandao wa Jamii forums bahati mbaya bila kujua nilipunguza size ya maandishi na window. Leo tena nikiwa facebook nimefanya hivo bila...
Wakubwa kamera yangu aina hiyo imeharibika mechanism ,nilipo ni nje ya Dar,mafundi wa hapa wanasema inahitajika mechanism mpya,naweza kuipata wapi.
Aina ya Kamera ni kama hii
nilikuwa natafuta msaada wa itune , nilikuwa na itunes , mara siku moja ikawa imefuta miziki yote kwene library, ikawa haifanyi kazi tena , nika down load mpya , lakini kuinstall, ikakataa ina...
Jamani mimi toka nimeijua kompyuta kuitumia sasa ninakama miaka 5 hivi, na windows xp ndio os niliyoijua kwanza na juzi juzi tu ndio nimeupgrade kwenda windows 7
mahali pote nilipo kwenda mimi...
Habari wakuu?
mimi ni mteja wa tigo kwa huduma ya internet, nimetumia huduma yao kwa takriba miezi miwili bila shida yoyote.....Toka jana nimekuwa napata usumbufu mkubwa mno wa net...
Service won't directly compete with Apple's offerings, but may threaten them via Android tie-in or piracy
Many have tried and failed. Apple, Inc.'s (AAPL) iTunes, which...
HABARI za mida hii wana jf...wanandugu jamani kwenye pc yangu nina folder lipo kwenye drive D lakin linakataa ku-open wala ku-delete nimejaribu kila mbinu...ndani kuna vitu ambavyo vina nafasi...
wadau naombeni mtupe jamvini link au set up za software za kutengeneza logo na nembo mbalimbali......ninayo the logo creator v5 but cijapendezwa nayo...naombeni software nyingine wadau..
salamu aleykum wana jamvi,
nina external driver western digital 480 gb,nimeweka data zangu ambazo ni kama 80% capacity ya storage, lakini jana nikajaribu kufanya kazi( ku access) nimepigwa na...
The Intel logo, displayed outside its corporate headquarters in Santa Clara, Ca., in April. Intel Wednesday unveiled new transistors that allow powerful microchips to run on less power. (Paul...
naombeni msada wenu .nina dell inpiron 640m ram yake kuwa over loaded sana keyboard ina ji fanyia vitu kivyake meaning ina kuwa kama ina ji press yenyewe hadi mashine inakuwa nzito nime badili...
nki open gta3 na some of games kwenye my laptop napata error message inasema you need 12mb video memory, but kwenye disc c na d kuna more than one gb free memory, nni tatizo na nifanyeje?
Wanajamii nimenunua firewire card yenye namba PCI FIREWIRE IEEE 1394A, nahisi ni ya kichina sababu cd niliyopewa haina drivers zake.
Naomba msaada wa source za ku-download hizo download sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.