Dear friends,
I am hoping to find someone with some good local experience. I have some dear friends in Dar es Salaam near Kilwa Road and Mbagala Road who are trying to decide which wireless...
If the best you can do when you're caught between the moon and New York City is fall in love--as the treacly eighties pop song had itit seems safe to say that among the worst experiences you...
Mambo wadau.
ninazo line za tiGo ambazo unatumia Internet access ya buree(UNLIMITED 3.5G speed).
waweza unganisha Kwenye modem yoyote inayokubali line za GSM.
Kupata hizi line inatakiwa...
Kutokana na mgawo wa umeme uliotangazwa na hali halisi inavyoendelea, nalazimika kununua genereta kwa ajili ya biashara ya internet cafe na secretarial services niliyonayo Arusha.
Vifaa...
Jamani nataka kujenga kanyumba kangu ka room 4 ama 5 hivi.
Najaribu kutafuta ramani kwenye google lakini nashindwa kupata.
Naomba msaada jinsi ya kupata ramani za nyumba kwa kuzingatia...
Wataalamu wa haya mambo naombeni msaada wenu tafadhali. Nilikuwa nataka kufahamu kama kuna madhara yoyote kwa computer endapo utaiwekea operating system au window zaidi ya moja. Kwa mfano uweke...
The government has reiterated its stance to spread information and communication technology (ICT) in rural areas so that rural dwellers may access communication services at affordable rates...
habari zenu jamani,modem ni mpya nimeistall lakini nikini nikifungua net inasema ni activate kwa product code and enter pin. sasa sijui producy key ni zipi na pin ni hipi. Maoba msaada
Habari ndugu zangu wanaJF,Jamani naomba msaada kwa ma-expert wa masuala ya computer juu ya nini cha kufanya kwa computer yangu,maana ninashindwa ku-access internet kupitia internet explorer na...
kampuni kubwa duniani ya kutengeneza computer aina ya HP. Hapo jana wamefanya mazungumzo na rais wa Tanzania Dkt. Jakaya kikwete baada ya mkutano wa World Economic Forum hapo jana.
Tusubiri...
EBANA KUNA PC AMBAYO NIMELETEWA ILI NIIPIGE WINDOW NYINGINE. BUT KILA NIKIJARIBU KUIPIGA WINDOW, INAANZA VIZURI MPAKA KWENYE HATUA YA "to install a fresh copy of window now press ENTER"...
PLEASE NAITAJI MNIKWAMUE KWA HILI NAHITAJI SOFTWARE INAITWA SMART SYNC,
ni kwa ajili ya kufanyia buckup kwenye mashine yangu kwenda server ni. please na kama kuna mtu anayosoft ware engine...
Salaam zenu wana JF.Mi nna laptop ya compaq na external webcam ya touchmate.tatizo ni kwamba nikiwasha webcam sioni kitu chochote kwa sbb window yake ni giza tupu.nawezaje kuiseti vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.