Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Helo wakuu, Mimi sio mwenyeji sana hapa jukuani. Mtanisamehe kwa uandishi. Mimi ni mdau mkubwa sana wa technologia ila ni vile tu nilichagua mlengo usiofaa. Nikirudi miaka 15 sasa hivi nachagua...
2 Reactions
2 Replies
630 Views
Habari za leo wajamvi? Kama heading invyosema hapo juu. kwa sasa Samsung mobile phones zinaonekana kutoa mid range budget phones kwa kasi sana kila leo ili kuendana na makampuni ya simu ya...
5 Reactions
38 Replies
6K Views
Asilimia 90% wa tunaotumia JF hapa tunatumia majina ya uongo tukiamini hatuwezi kujulikana ni nani. Swali kwa wataalamu ni; 1. Polisi wakiamua kutumia TCRA kuangalia computer inayotype ni ya...
5 Reactions
150 Replies
13K Views
Wakuu, katika pitapita zangu niliamua kulitazama hili suala la kuwa anonymous hasa unapotumia internet. Kuna sababu nyingi za mtu kutaka kuwa anonymous mtandaoni, mfano kujilinda na kutaka...
0 Reactions
77 Replies
11K Views
Niaje Wazee.... Leo ningependa ku share na nyie jinsi gani mnaweza ku-activate window(Version 10) bila kuwa na Product au License Key Kabla hatuja ona solution ni vyema kujua nini tunakifanya...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu kuna jamaa yangu ana tv aina ya aborder haisapport baadh ya muvie inaandika unsupported format wakat hizo muvie mim nazichek kwenye tv yangu aina ya rising vizur tu Hivyo naomba kufaham ni...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu salamu zenu, natafuta wapi pa kuweza kupata affordable domain niweze kuhost website yangu, naomba msaada wenu
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF mliomo humu, kwa heshima na adabu naombeni msaada katika kueleweshwa kuhusiana na mambo yafuatayo: -Hivi kati ya Blog, website na application ni kipi chenye ushawishi mkubwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Nna TV yangu flat screen kabila ni LG imeacha kuonesha ghafla. Sauti iko vizuri ila picha ndo haileti ipo kiza kwenye screen na picha inaonekana kwa mbaaaali. Fundi alisema ni AC...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
samahani wakuu naomba kujua ubora wa hizi sound bar za hisense kwa mtu ambaye ameshawah kuziexpirence. Asanteni
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Self disseminating or self spreading vaccines are on their way, whether we want or like it. These will also be vaccines which spreads from person to person.The demons are marching forward no...
0 Reactions
2 Replies
445 Views
KWA UFUPI Kuna masuala kadhaa yanayoweza kutokea kutokana na simu kupotea au kuibiwa. Na mambo haya yanaweza kumfikisha mwenye simu au kifaa husika katika vyombo vya sheria na hata kufungwa...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Mimi ninamiliki blog blogger ila katika pita pita zangu naona kuna wordpress je yupi ni bora Faida ya worldprss kuzid blogger na hasara zake Na ukitaka kuhama kuja worldprss bila kupoteza post...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wanajukwaa Samahani, ninaomba msaada kwa mwenye kujua, maana hii account inaonekana inawatumia watu sms za kazi ambayo malipo yake kwa siku ni 50,000 kitu ambacho si kweli ni utapeli...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam....swali langu lajieleza, nina simu ya Azumi (ya kampuni moja ya simu) inayotumia laini ya mtandao mmoja tu sasa nataka kutumia mitandao yote je naweza kuibadirisha kwa kui-root au...
0 Reactions
3 Replies
699 Views
Jamani hata hii ni ya kukosa !!! Jipatie flexible keyboard nzuri imara Toka Laptops and accessories]] kwa bei simple Sana 𝗙𝗹𝗲𝘅𝗶𝗯𝗹𝗲 𝗸𝗲𝘆𝗯𝗼𝗮𝗿𝗱 Ni aina ya keyboard imetengenezwa kwa njia ya...
0 Reactions
9 Replies
739 Views
Habari wadau hope mpo poa Niende kwenye mada sisi wengine kuclaim mambo ni mwiko tunataka kujua programming very in deep Sasa km ww ni programmer hope umewah kutumia preprocessors like stdio.H...
0 Reactions
2 Replies
490 Views
Hi kwa niaba ya mdau wangu Natarajia kuingia mjini kesho Mwenye Ups tajwa hapo juu msaada ili nisizunguke sana Uweso Kva 10 pc 2 Kva 20. 3:3phase pc 2 Kva 30 3:3 phase 1pc Hizi kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Habari wakuu Nina mpango wa kununua moja kati ya izo brand za BRENDER Je ipi ni bora maana nataka heavy duty brender ya 3000w? Na je ni kweli zinauwezo wa kusaga nyama? Au ni story tu?! Karibu sna
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom