Microsoft to Acquire Skype Combined companies will benefit consumers, businesses and increase market opportunity.
REDMOND, Wash., and LUXEMBOURG – May 10, 2011 – Microsoft Corp...
Mobile users often struggle with the complexity of Internet setup on their mobile phones resulting in frustration and a limited use of Internet services. With the right settings you have the...
Habari zenu wanajamii forums..
Naomba kufahamishwa kama simu ya HUAWEI inayotumia system ya ANDROID 2.2 inaweza kutumika kwa line za Bongo? Au kuwa flashed na kuweza kutumika?
Thanks in advance
Habari wana JF. Jamani Laptop yangu ina tatizo la sound, naombeni msaada wataalam wa IT/Computer Science. Nimeshahangaika nayo sana, HP website nimecheck drivers hazipo ambazo ni compatible na...
kwanza naomba nikiri jf imenifundisha mengi sana ikiwemo kuacha kuibiwa na mafundi uchwara waliokuwa wananiwekea software kwa bei ya kihuni na baada ya trial kwisha inanidai keys, lakini kupitia...
Hello wanaJf!
Tafadhalini mwenye kuwa nako username na password ya UpToDate (UpToDate Inc.) kwa ajili ya online access tafadhali tushee. I will subscribe to the terms and conditions if...
Guys, I have BlackBerry Verizon 8830 World Edition. I have tried hard to test all sim cards but it tells me "INVALID SIM CARD"
Guys, I need your help. It's very urgent!
Wakuu naombeni msaada, hivi karibunini nimenunua dstv, tbc ndo tv ekee ya kibongo ila iniboa sana. Sasa nifanyenye kupata hizo tv hizo? Naombeni sana wdau
Jamani Kuna dhuluma inafanyika airtel internate : ukijiunga na bundle au ukiwa na bonus na huku ukiwa na hela ya ziada kwe modem, ile hela inaliwa yote na kubakia sh 4 ambapo huwezi kupata...
Poleni na kazi wana jf coz mna2saidia mambo mengi sana,kwa leo mimi naomba msaada kuhusu hili;Nina diesel injini HP20 so nilikuwa natafuta motor inayoweza kunizalishia umeme mwingi nawezaipata...
Naomba "Username" na "Serials" ya "Propel Accelerator 6.1.6.1103" au
"propel accelerator 6.3.0.3303"
Ninatumia Dial Up connection na eneo ninaloishi net ni magumashi ila nimepata hii software...
habari za sasa wanajf..
me natumia laptop lakin huwa natumia flash disk tofauti tatizo ambalo nimelipata ni kuwa desktop yangu yote imeliwa na virus haina icon hata moja ni tatizo gumu sana kwangu...
wakuu humu jf naomba msaada kwa wenye kujua jinsi ya kudownload freely adobe flash player kwenye computer yangu. Nimejaribu mara kadhaa lakini nimeshindwa
Guys this app is very cool...easy to install and it can be found easily in ur phonebook/contacts...u can chat right from ur phonebook,share location,wat u r listening etc...head to nokia beta labs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.