Habarini wapendwa wa jf natumai mko poa kama mada isemavyo hapo juu mimi nahitaji kueleweshwa ni wapi napatA hiyo mashine ya mkononi ya kufyeka mpunga au yule atakae kuwa nayo anahitaji kuiuza...
Wakuu hii inatosha na inakera sana. Sasa ni muda muafaka Serikali iruhusu transactions za mtandaoni kwanjia ya paypal maana tunapoteza na tunapitwa na vitu vingi na paypal ndo njia rahisi salama...
Ukienda kununua simu utasikia simu hii feature kadhaa wa kadhaa ikiwa na display aina ya AMOLED !! Sasa iyo AMOLED display ni NINI ? [emoji3]
amoled ni moja wapo ya teknolojia ya kioo ambayo...
Tunatumia tu emoji kwenye simu zetu au kompyuta lakini nadhani wengi wetu hatujui Historia ya emoji Tunashangaa tu ziko kwenye simu zetu ?
Kuna bwana mmoja anaitwa Shigetaka Kulita huyu ndo mtu...
Habari za weekend wakuu. Naomba maelekezo toka kwenu wana-JF. Natumia mobile phone, Nokia 2730, ambayo ina built-in browser; Opera Mini. In addition ninayo version nyingine inayoitwa Opera Mini...
Facebook bhana Ina mambo mengi sana ya kushangaza ambayo watu wengi walikua hawajui kha wanaweza kuyafanya kwenye Simu zao.
Wageuze marafiki kuwa followers
hivi unafahamu Facebook wameweza kuweka...
utalaamu na uzoefu niliokuwa nao kwa kweli hali ya samsung sasa ni mbaya.
hata ukiweka simu yako ulinzi vipi kuanzia nywila na vengine kama kufunga simu kwa KG,FRP na n.k
simu itafunguliwa kama...
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana.
Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem...
Habari wadau, nahitaji muongozo wa kutengeneza desktop application yenye sifa zifuatazo.
Iwe networked .
Aina ya database nayoweza kutumia.
Na vitu vingine muhimu katika flow nzima.
Nafanya...
Ndugu zangu mwaka Jana tuliona full release ya iPhone13 je kuna map ya yeyote yalionekana binafsi naona ni sawa na iPhone 12pro max maoni yenu jamani! Je wamekuwa na ubunifu wa camera tu au??
Wakubwa Habari...
Naomba msaada kwenye hili, Sim yangu SAMSUNG GALAXY NOTE 10 PLUS imekuwa inanisumbua kila nikichomeka charge inaandika Battery temperature is too low na haipeleki charge
Nifanye...
MSAADA TUTANI
Nimeletewa na kijana wangu desk top computer sasa mzee mie ninachemka product key ya window 10 pro [emoji1319] mnanisaidiaje jamani
Maana inaonyesha window iliyomo siyo GENUINE
Mimi na jamaa zangu tumekuwa tukitaka kujua juu ya bio gesi. Kuna uhitaji wa kujua juu ya: miundo, gharama, uwezo wa nishati katika matumizi ya nyumbani na viwanda vidogo vidogo.
Kuna haja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.