Kama heading inavyojieleza:
Nahitaji stylus pen inayoweza tumika kwenye any touch screen device; both Android, iOS devices or 2 in 1 laptops. Nipo Dar.
Natanguliza shukrani.
Kampuni ya Samsung wameachia updates ya os ya Android 12 ama UI 4 kuanzia tarehe 15 mwezi huu kwa simu za Samsung Galaxy S21 Ultra. Ila hii updates ilianzia huko Marekani, Ulaya na Korea Kusini...
Habari za asubuhi wakuu??
Samahani kwa usumbufu:
Moja kwa moja kwenye maada!
Wakuu, nimekutana na hii "surveyj.co" huko google. Inadaiwa unaweza kujipatia hela kupitia hii Surveyj.co
Sasa...
Habari,
Hivi karibuni kampuni linalohusika na utengenezaji wa vyombo vya anga na unajimu limetoa ripoti ya mipango yao ndani ya mwaka 2022 ya kurusha rockets 52.
Elon Musk ambaye ni mkurungezi wa...
Habarini wakuu!
Niki mpigia mtu, au nikipiga screen ina kuwa nyeusi,
haoleti mwanga,
HIVYO NASHINDWA HATA KUKATA SIMU, N.K
Msaada tafadhari.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hey habari za muda huu wakuu kuna PC hapa inanisumbua yan imekua nzito hata apps azifanyi kazi ipasavyo alikua anatumia dada angu sasa nimekuja kugundua ni muda mrwfu window haijafanyiwa updation...
Nchini Norway sasa yaja na basi lisilo na Dereva urefu hivyo litajiendesha lenyewe kwa kutumia technology na hakutakuwa pia na hata makondakta hivyo basi litakuwa linasima kwa kila kituo na...
Wakuu habari za saa hizi natumaini wote ni wazima
Nimepatwa na tatizo kidogo kwenye pc yangu ni kwamba nilichomoa harddisk nikaitumia kama external sasa wakati wa kuirudisha na kuwasha Pc...
Ndo kusema haya mambo hamyawezi au?
Toka nimetembelea kule sijawahi ona hata chat room ya kiswahili au hata forum ya kiswahili!,mnakwama wapi au mnaogopa kuonyesha ufundi wenu.
Ni mbaya sana...
Sipo hapa kutangaza biashara. Nina TV yangu flat ya Samsung 32" nilinunua mwaka 2013 na naitumia tu chumbani. Sasa kutokana na athari za mvua hapa Dar iliingia maji mengi sana kwakuwa niliiweka...
Habari za muda huu wakuu, mimi nina group la facebook lenye wanachama 200K ambalo hapo awali kwa siku walikuwa wakijiunga watu 1k lakini siku hizi wamekuwa wakijiunga watu 20 au 30 tu!
Je, ni...
LinkedIn imeaanza kusambaza kipengele cha sauti / #SocialAudio kwa wabaadhi ya watumiaji wa mtandao huo – hasa ikilenga waandaji maudhui kwa hatua ya kwanza.
Mojawapo ya sifa kuu za...
1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao, na kutompa mtu mwingine hata kama wana ukaribu
2) Kuzungumza na Watoto, na kuwaonesha wanaweza kuwafuata pale wanapopata...
Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.