Kwa chereko nyingi tu niwapongeze wasimba au kwa kiswanglish wanaitwa madevelopa wa Bongo kwa mambo makubwa yaliyofanyika nchi hii. Kwa kweli tunahitaji pongezi sana. Kwa wale wasiojua mafanikio...
Sequence and structure comparison of protein and RNA molecular ni muhimu kwenye kujua tofauti za microorganisms kama cells, bacteria, fungi na virus
Mfano kujua tofauti ya normal cells na...
UBUNIFU WA INVETER
Jambo la msingi katika uundaji wa inveter ni kubadili voltage kidogo ya umeme wa battery (Umeme wa battery ni umeme mnyoofu Direct Current”DC”) na kuupeleka katika umeme...
Habari wakuu, nilijaribu kuingia YouTube ili niweze ku download movies tajwa hapo juu,nimeshindwa Kutokana na ninazozipata kuwa katika lugha ambayo ni tofaut na kiingereza.
Kwa aliye na link...
Habarini wakuu
Mimi ni mjuzi mzuri wa masuala ya digital marketing haswaa.
Ila nimekua nikijikita kwenye ishu nyingine kwa muda mrefu sasa ukiachana na hizi mambo za marketing. Sasa nimeona ni...
Dunia kila siku inabadilika kulingana na teknolojia inataka nini!
Wale walio jikita na sarafu kama bitcoin mtakuwa mnafahamu kuwa bitcoin thamani yake ni kubwa na si rahisi kuinunua kama mgeni au...
Wenzetu wameendelea bwana. Huwezi kuja kusikia eti wamekufa kisa kukosa maji labda kama Hewa nayo imeondoka [emoji28][emoji28]which is almost impossible.
KaraPure ndicho kisambaza maji cha kwanza...
Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu
Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia...
Habarini wakuu mimi najifunza javascript japo kuna baadhi ya vitu sivielewi ningependa mnieleweshe muundo wa js kanuni muhimu za js na neno return linatumika vp kufunction code nanjia bora za...
Nadhani karibu Kila mtu ana/ anatamani kuwa na channel ya YouTube kwa ajili ya kuweka maudhui mbalimbali.
Na katika safari hiyo bila shaka kila mtu anatamani kuwa maarufu na kufuatiliwa na watu...
Hellow Guys
Nilikuwa nafanya utafiti kuhusu bei ya Photocopy machine aina ya canon ir 2425i
Nimebaini maduka ya wahindi mfano maisha,omni na masumini bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na...
Salam,
kwa wale Watu wa IT,Computer science,Telecommunication na any related field...CCNA sio kitu kigeni sana kwao.Ni Course inayohusu Networking(Routing and Switching) na demand ya hii course...
Salaam wana JF.
Naombeni uzoefu kwa mliowahi kutumia au mnaotumia CCTV camera iwe nyumbani, sehemu ya biashara au ofisini. Ni camera ipi inafaa kwa sehemu kama bar ambapo usiku kuna mwanga hafifu...
Hello wataalamu wa IT,
Nashindwa ku-run utilities/command prompt baada ya ku-install xampp kwa macbook pro 2011, msaada tafadhali.
MK254 CHIEF MKWAWA Stefano Mtangoo et all.
Opibus, kampuni ya teknolojia ya Uswidi na Kenya ambayo inaunda, kuendeleza na kusambaza magari ya umeme yaliyoundwa kwa ajili ya Mwafrika imezindua basi la kwanza la umeme nchini Kenya na vile...
Wanatech habari ya January,
Nina shida kama kichwa kinavyoeleza hapo. Naomba kufahamu namna ya kuunganisha .rar part files nyingi kuwa iso moja.
Mfano mara nyingi kule telegram kwenye magroup ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.