Hili ni moja Kati ya mijadala ambayo imeibuka sana Tanzania [emoji4] haswa siku hizi za karibu kuhusu mtu anaweza kununua viewers.
jibu ni rahisi NDIYO...!!!!
ni salama kabisa mtu kununua viewers...
Nimesikia kuwa kuna watu wanaweza ku hack acount yako na kujifanya yeye ndio wewe,kwa mwenye kujua hii inakuwaje?anaweza kutumia hadi avatar na user name?
Wadau wa Tech kwemaa!!
Nauliza je kuna technique ya kurejesha messages za mtandao wa kijamii wa what's app tofauti na ule tuliozoea unapo install what's app ipya ktk simu yako.
Anaye fahamu...
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imesema shambulizi la udukuzi kwenye 'Server' zake za Data limeathiri Taarifa Binafsi za Watu zaidi ya 500,000 waishio katika mazingira hatarishi...
Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G.
Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G...
Binafsi nina gari sometime napigia mishe za bolt/uber.
Ila hela tunayowalipa hawa jamaa ni kubwa sana.
SWALI: Hakuna watundu wa TZ wazawa wakaanzisha app zinazofanya kazi sawa na hizo? Na kama...
Habari
Kwenye iphone kuna kitu kinaitwa switch control sasa kimetokea na sasa simu imeshaji lock nahitaji kuingia kwa passcode ila nashindwa
ukitaka kuanza kuandika passcode tu inatokea mistari...
Habari wapendwa?, poleni na majukumu.
Nina shida na program ya tally erp iwe release ya latest kidogo maana niliyo nayo ni erp 9 release 1.1.
Napatikana Mwanza kwa mwenye nayo anichek tuyajenge...
Wakuu habari,,
Baada ya JF kurejea kutokana na kutokuwepo hewani kwa takribani wiki 3 mwezi June 2018, uongozi wa JF ulikuja na pendekezo lifuatalo ili kulinda usalama wa watumiaji.kwakua wakati...
Nimepitapita zangu Aliexpress nikakutana na hii simu. Kwa Around laki 4 hivi unajipatia,
Realme 9i ambayo ina
FHD+ Display with 90Hz refresh rate
4GB of RAM
128GB of storage(zenye 64GB naona...
Habari Wakuu. Nina laptop aina ya Toshiba ila tatizo niiiunga na WiFi hotspot ya Simu yangu ya Tecno inakula data so mchezo. Juzi tu niliiunga ili kuperuzi website kadhaa lakini ndani ya dakika...
Wah. Nimatumaini yangu mko salama, poleni na ramadhan pia.
Nahitaji kununua PC je? ni vitu gani vitakavyo ni hakikishia kwamba pc ninunuayo ni bora kwa matumizi?
Unapoenda kununua mfumo wa muziki au system ya mziki dukani au unapoangalia kwenye Internet kuhusu audio system utakuta kwenye specifications upande wa power output ya spika wamekuwekea 1000w RMS...
Wakuu,
Kuna yeyote anayejua App ya simu ambao mtu anaweza kuweka 'Caller tune' ambapo mpigaji ataburudishwa na wimbo uliouweka mara tu atakapokupigia simu?
Najua huduma hii inatolewa na baadhi ya...
Binafsi sio mtaalam wa hayo mambo ila nasikia ni biashara ya mtandaoni inayolipa, mwenye ujuzi kidogo kuhusu nàmna ha kutengeneza pesa kwa adsense, revenuehits, propeller ads tunaomba atuelimishe...
Habari wadau naomba msaada wa namna gani naweza kuzuia namba fulani kunipigia bila ya kuizima simu yangu. Kwa anayejua code za kusett simu anisaidie please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.