Wakuu salaam
Telegram binafsi naikubali sana hasa kwa upande wa movie matumizi yangu kwenye telegram, 85% kudownload movie , 10% Music na 5% kuchati (Sina wadau wengi wanaotumia telegram)
To the...
Wapendwa natakaa kuconvert video iliziweze kuomekana kwenye tv na radio maana nikiweka kwenye tv napata ujumbe not supported. Natanguliza shukrani. Na heri ya mwaka mpya 2022
Nimeibiwa simu yangu kwenye begi aina ya iPhone 7 tangia juzi na kila nikiipiga haipatikani na nimejaribu kwenda polisi naona siwalewi.. Nimeweka iCloud yangu kwenye simu ya Dada yangu kutumia...
Salam wakuu,
Straght to the point. Juzi tarehe 8 kuna simu imekuwa launched inaitwa Realme GT2 Pro. inasemekana ni moja ya simu bora kabisa kwa mwaka huu wa twende twende tu. I could actually go...
Habari!
Niko na project ya kutengeneza system ambayo itawasaidia vijana kujisajili na kuinga kwenye system(server).
·Naomba msaada wakutengeneza mahusiano kati ya PHP na Database server (MySQL)...
Kuna hii kasumba ambayo watumiaji wengi wa Internet,haswa sisi wa Tanzania tunayo.Aidha tuna amini hivi au tumeshawahi kusikia kutoka kwa watu na sisi tukawaamini bila kutafiti
Na cha ajabu huwa...
Wakuu hii Ishu ya nani ni bora zaidi kati Tesla na Eistein katika Ulimwengu wa Technology, Imekuwa ni tata Sasa, kila Mtu ana mawazo yake kuhuwa wababe hawa wawili. Naomba Wataalam mtumalizie...
Wakuu kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hili naomba msaada wake
DLP Projector Dell 2400MP Inahitaji password
Kwayeyote anaeweza kuifanyia kazi na kunitatulia hili Basi anicheki tuzungumze...
Wadau habari,nilinunua simu (tecno-spark7) smartphone mpya K.koo,shida inaji_restart,Carlcare (mafundi maalum wa tecno phones) nimeenda bado hali ni ile ile.
Duka nililonunua wanasema wanaoweza...
Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau...
Habari zenu wana tech
Wakuu naomba niende Moja kwa Moja kwenye mada, kiukweli ninapata wakati mgumu kuwa encourage wadogo zangu wajifunze programming/ coding.
Muda wanao wakutosha kujifunza na...
Nimepoteza antenna (dongle) ya wireless mouse yangu.
Bila hii dongle, siwezi kutumia mouse wala external keyboard yangu...
Kazi hazifanyiki kabisa, maana internal keyboard ya laptop baadhi ya...
Habari za muda wana jf mm nimeibiwa simu infinix S5pro nilikuwa nimeiweka mfumo wa track nilifanikiwa kuifuatilia muda ikawa imezimwa ila baada ya siku5nikiitrack siioni ila Imei no ninazo...
naombeni msaada wakuu nyumbani kwangu natumia mita za umeme za luku zile za remote..sasa ghafla umeme ndan umezima na nikiisoma remote imeweka alama ya switch iko off...tatizo linaweza kuwa nn?...
Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
Kwanza Kabisa naomba niwatakie heri ya Mwaka Mpya Ndugu,Jamaa na Marafiki,Mimi Ni Mzima wa Afya.
Kutokana na ukuaji wa Sayansi na Teknolojia duniani kote,Internet imekuwa chanzo Cha vijana wengi...
Habari,
CEO wa kampuni la kutengeneza magari ya umeme Elon Musk hivi karibuni kupitia ukurasa wake wa twitter alipost kuhusu kupanda Kwa gharama za Full Self-Driving Software Update kuanzia Jan 17...
Kheri ya mwaka wataalam.
Ninapata mkanganyiko kidogo kwenye kujua ipi itanifaa zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
Upande wa performance, ukaaji wa chaji na mambo mengine ya msingi kwa mtumiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.