Tafadhari shufu somo hapo juu.
Samsung ina button moja inayokuletea app ya Bixby,, toka niinunue ni mwaka sasa sijaitumia hyo app maana naona km wenge to .
Nan mwenye kujua onafanyakaz gn...
Jamani msaada wenu tafadhali. Nina TV aina ya TCL yenye kingamuzi ndani tatizo chaneli zote zina pini.
Mwenye kuweza kutoa msaada tafadhali natumia cam card
apple jana walizindua vitu vingi kwenye event yao lakini kwenye macho yangu niliona ni vya kawaida na havikuwa vya kushangaza. ila pale nilipokuja kuiona mac mini nilishangaa sana na sikutegemea...
Keyboard ya laptop yangu (DELL) ilimwagikiwa soda, hivyo imekuwa useless, saivi nawaza namna ya kupata nyingine.
nappenda kujua inaweza kughaarimu bei gani?
model: V137325AK1.
Natanguliza shukrani
Wakuu nawasalimu kwa jina la jamhuri naomba kufahamu brand za wireless head phone nzuri za bei ya kuanzia 20k -30k zinazokaa na chaji kwa mda kidogo na base na sound quality nzuri
" Hapana, binafsi naandika programu mbalimbali kwa lugha tano tofauti, na Google pamoja na StackOverflow vimekuwa msaada wangu mkubwa. Proffesor wangu mmoja chuo kikuu aliwahi kusema " haulipwi...
Habari wakuu nimevutiwa sana na hizi alienware gaming laptop, nauliza kuhusu bei zake pamoja na ubora wake ukishindanisha na kampuni kama hp omen, acer, msi,
na je hizi msi gaming laptop zina...
Wakuu kwema? Tueleweshane kidogo kwa wale wanaofahamu.
Ni vigezo gani hutumika kuifanya nyimbo kuuza mauzo ya Platinum. Kwa mfano hii Essence ya Wiz Kid imefikisha Mauzo hayo ndani ya U.S.A Baada...
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana hasa waliopo na waliohitimu vyuo vikuu kumiliki laptops.Mimi nipo kijijni na elimu yangu ni std vii lkn nimejaliwa kupata vipesa na sasa nahitaji kununua...
Naomba kujua aina za sub meter na bei zake.
Nilimuuliza jamaa mmoja hivi, akadai kuna submeter aina moja tu inayohesabu tu na haina button
Ktk kugoogle naambiwa zipo za button
Je, hizo za button...
Katika pitapita zangu kule kijijini kwetu AliExpress nikaona simu za aina tajwa hapo juu, je kuna yeyote anayejua uhalisia wa hiyo simu maana naona specs zake si mbaya kwa watumiaji wa vipato vya...
Wakuu habari zenu,
Naiman mu wazima wa Afya.
Wakuu Nina simu yangu Samsung Galaxy S7 edge ina tatizo kubwa linalo ninyima raha
Wakuu simu yangu haikai na charge yan nikicharge nikifungua data...
Wakuu kama naomba masada kama wiki3 zilizopita kuna uzi uliwekwa wa FREE AZAM APP..
ambayo hulipii chochote, kuna KITU kama code scanner ndio iliwekwa ukishascann unakuwa uninstall...
Hivyo...
Habari za wakati wana jamii forum,
king'amuzi changu cha azam ghafla kimegoma kuonesha ili hali kila kitu kiko sawa kwa maana nkifunga kingine kina fanya kazi vizuri tu je shida inaweza kua nini...
Habari nimefanya malipo siku ya pili leo kwenye dish la azam lakini channel hazionyeshi kama kuna mtu ananumber za azam namuomba ili niulize nini tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.