Habari ya majukumu wadau.
Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout.
Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini...
Kwema wakuu.
Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie .
Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan...
Poleni na majukumu
Nimeiwasha tv wakati naamka nikaona inaonesha mwanga kwa mbali sana kwenye kioo na maneno ya kampuni ya tv yanasomeka kwa mbali tatizo ni nini?
Tv aina ya Homebase ina miaka...
Habari wanajamii forums wenzangu hususani wa jukwaa hili la technologia!!
Shida niloyonayo ni kushindwa kupata drivers za laptop aina ya Dell vostro 14 3000. Nimejaribu kuangalia ktk driver pack...
Habari wana JF... nina simu smart Nokia 1 nikiweka mfuko wa suruali inajibonyeza yenyewe muda mwingine inampigia mtu au inaandika matusi.
Tatizo nini, msaada tafadhli nokia made in china
Kingamuzi kimeisha leo nimewasha TV imeniandikia hivi kila nikiselect hainiletei matokeo naombeni msaada wakuu
Ni dstv
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Waungwana naombeni msaada tutani. Nilikuwa natumia Torch broswer kushusha nyimbo na movies, sasa naona kwenye local internet yangu imepigwa burn. Naombeni mwenye kujua altenative ya hii kitu...
NISAIDIENI JINSI YA KUZIPATA TENA NIFANYANYAJE.DRIVERS ZENYEWE ZIMEANDIKWA
1.Mass Storage Controlers
2.Network Controller
3.SM Bus Controller
4.Unkown Device
Wakuu habar za weekend.Naomba kujua ni aina gani ya APP itanisaidia kucheza games.Maana nikidowload Game haionekan hata kwenye sim ila inaonekana nmeinstall tu ila sioni ilipo.
Pia naomba kujua...
Habari zenu wadau, Nina tatizo katika vifaa vyangu vya umeme (woofer na desktop), vifaa hivi vikiguswa vinachapa mtu shoti pale vinapofanya kazi. Mwenye ujuzi wa umeme anisaidie tatizo linaweza...
Habari za muda huu leo nilikuwa najiuliza kwanini pc yangu haipate update ya window 11 ingali vigezo vyote vinavyo kama TPM 2 generation ya 8 RAM 8 na kila kitu sasa ikanibidi nichunguze zaidi...
Habari wakuu
Nimefungua goli fulani, frame ina ukubwa wa 3.5m kwa 4m (ukubwa wa fremu za maduka zilizopo mtaani). Sasa nakata kuweka CCTV Camera kwa ajili ya kufuatilia kinachondelea maana...
Yaani namna kuweka bidhaa mfano umeingiza chupa za maji 20 zikitoka chupa mbili iwe ina onyesha automatiki bei ya mebaki mangapi jumla ya pesa ya kuuzia na kujumlishia atakama mtu akiwa ana kuuzia...
Habari za majukumu wadau.
Ndgu yenu simu yangu hii napata mkanganyiko kutumia wi-fi.
Naomba mnijuze nifanye utundu gani niwe najiunga aisee, sometimes hata mtu akiniwashia hotspot basi mpaka...
Ni kama vile kampuni ya Samsung inaenda kushindwa kwenye upande WA high end phones.
Toleo la galax S21 limefanya vibaya sana kipindi kwani simu milioni 54 walizouza Kwa mwaka huu nyingi ni zile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.