Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari, Nifanyeje nifungue Online TV, na inaweza kugharimu kiasi gani? Asanteni
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nahitaji laptop used aina kati ya hp, dell, lenovo na toshiba yenye hard disk kuanzia gb250 kwenda juu,,, ofa yangu ni sh 250,000 napatikana kwa namba 0779575664 nipo dsm
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimejaribu ku delete app baadhi na nyingine nimezi desable na video nimefuta na picha nyingine nimehamishia kwenye memory card lakini kila nikiaptdate inaniambia device imejaa bado.je?ku a madhara...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Last Update: 08.05.2016 WASTANI WA MUDA UTAKAO SUBIRI ILI KUPATA UNLOCK CODES ZA SIMU YAKO LG: 51 minutes ZTE: 55 minutes Blackberry: 6 minutes Huawei: 4 days TO 9 Days Samsung: 17 hours 32...
14 Reactions
772 Replies
173K Views
Habarini Simu ni Tecno F1 android 8.1 ni app gani nzuri kwaajili yake nimejaribu kinroot na framaroot lakin zote zinagomesha. Nisaidien.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msaada jamani naomba kuuliza battery la tecno f1 linakaa na charge kwa muda gani na ni bei gani? Maana naona battery langu Linakaa masaa mawili na nusu kutoka manne niliyozoea
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu msaada n kifaa gani naweza tumia kunganisha TV na king'amuzi niachane na mambo ya waya Mnisaidie na kipata wapi na bei
2 Reactions
38 Replies
10K Views
Msaada kwa anaejua tricks za kuhack badoo credits
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Leo katika kuchezea chezea simu nimekutana na mitandao ya kujuana, kuwa marafiki, kupeana kampani na hata kutafuta wapenzi. Sasa nmeingiza app inaitwa badoo, tagged na tinder zote naona bila...
0 Reactions
66 Replies
33K Views
Naomb kujuzwa pc yangu ya Lenovo inagoma nikichomeka waya wa USB kutoka kweny simu tatizo nini? Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
980 Views
Kila ninapochomeka kwenye Computer inaniandikia FORMART DEVICE, Ndani yake nimeweka vitu vyangu vya muhimu sana na sitaki kui-Format. Naomba msaada ili nisipoteze vitu vyangu vya muhimu.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
You just say that you can’t solve the problem. If somebody asks me to find an element in an unordered list with less than O(n)O(n) complexity, I’ll just tell them “sorry, this problem cannot be...
1 Reactions
8 Replies
868 Views
Eti wakuu hapo itakua shida ni nini?, maana kila ninapojaribu kuaccess free basic kupitia PC huwa inazingua, Yaani sipati hizo huduma za Freebasic.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada namna naweza rudisha image nilotumiwa na mtu bahat mbaya kwake kafuta. Nikijaribu kuidownload inakataa na kusema hivyo kwenye screenshot
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Don't worry, you can return all your files! All your files like pictures, databases, documents and other important are encrypted with strongest encryption and unique key. The only method of...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF, msaada tafadhali kwa yoyote anafahamu App ambayo inaweza fanya live speech translation mfano kama kiongozi anazungumza yenyewe inakua inaonesha maneno yanayosemwa kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wa Tz tunashindwa nini, maana nimepitapita katika blog nying za waind wanaonyesha mins wanavyotumia freebasics.com app kupeluz website mbalimbali kwa kuihack na kuchange proxy and VPN...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Habari wana jf! Nimekua nikitumia kitabu cha deteil cha java nimekipenda sana hasa kwenye kujifunza! Sasa kama kuna mwenye kitabu cha PHP kizuri tafadhali naomba anisaidie.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni Samsung Android version 6.0.1
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kabla hujafanya uwamuzi wa kununua laptop yako mpya kwa ajili ya matumizi yako ya Graphic designing, Architecture, au Content Creation yafahamu haya. NI MUHIMU! • Category hii ya watu wa aina...
11 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom