Habari za usiku huu ndugu wanatech ,gadgets mimi naomba eneo liwe chuo au mahali ambapo nitasoma kozi fupi ya computer kwa muda wa miezi mitatu ,miezi sita au mwaka kwa Sasa naishi Tabata Asanteni
Wana JF,
Natumaini mu wazima wa afya tele. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nawaombeni wanye kujua hatua zipi natakiwa kuzifuata ili kuweza kuunganisha ofisi zaidi ya moja kwa...
Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".
hivyo basi kuqnzia...
Nilitumia adobe acrobat reader kwa muda siku walizonipa baada ya installation, sasa siwezi kuitumia tena kwakuwa muda wake umeisha, je kuna namna yeyote naweza kutumia ili niactivate niweze kutumia?
Naamini kuwa hizi ni ngumu kudadavua pia kwani lazima niwe na sim card ya local provider?
Ninavyofaham ni kuwa lazima u register na TCRA ukinunua na kuwa nayo
Je zipi mzuri kati ya Iradium...
Nina TV yangu Hisence LED.
Nataka niipe uwezo wa kuwa smart TV.
Interest yangu ni kuwa niweze
1. Kuaccess Netflix
2. Kuaccess youtube na kustream huko
3. Kuaccess football streaming applications...
Kwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu...
Habari zenu wakuu wa mambo!
Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara,
Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa...
Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course?
Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa.
Maana naona PYTHON ndo imejaa...
Hakuna anayependa mawasiliano yake yaingiliwe au kutumiwa mtu mwingine bila ridhaa. piga *#61# kisha ok , kwa mtandao wako wasimu kuhakikiki. ukiona call au text fowarding iondoe kwa kupiga...
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza naomba mnipe muongozo mzuri.
Natarajia kununua simu kwa mtu kwa shilingi 280000 ni nzuri ila wasiwasi wangu ni ku risk pesa afu mwisho wa siku ikaniletea...
Wajuzi naomba kufahamu tatizo na gharama ya matengenezo.
Simu ya wife sumsang galaxy J4 jana mtoto ameaiangusha wakati anampelekea wakati inaita, sasa ninajukumu la kwenda kuirekebisha kama...
Duuh
Njmesikia mpango wa serikali sins uhakika ila nimesikia tu!
Eti bloggers na youtubers watalipa million1 kama ada ya miaka 3 baada ya hapo watalipia tena
Kwahiyo kila baada ya miaka 3 tutakua...
Nina project yangu ambayo natarajia kuianza January 2021.
Katika project hiyo nitataka wateja waweze kunilipa kupitia TIGOPESA, MPESA NA AIRTELMONEY online. Yaani anaweka namba yake na password...
Simu yangu ni Infinix Hot9 Play X680. Line ni Voda 4G. Inasoma mwisho 3G tu hata nikiwa mazingira yenye network yenye uwezo wa H+. Nimepitia settings zote muhimu sijagundua tatizo.
Naombeni msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.