Habali za mda huu wapendwa, nina desktop computer na Jana nlijalibu kuirestart. Baada ya kuzima na kuwaka Tena haikuleta chochote Ila ujumbe uliojiandikisha juu ukisomeka "BOOTMGR missing, press...
Wakuu nisaidieni kuelewa kuhusu hili
Kuna emergency hela inatakiwa haraka sana,
Natuma Halo Pesa kiusahihi kabisa bila kukosea halafu hela haifiki ilikotumwa na kwenye acc hela imetoka
Unapiga...
Mimi natumia mtandao wa voda lakin tatizo linalonisibu no kwamba napowasha data ili niingie mtandaon MB zinaenda fasta sana hata Kama niko wasap kuangalia comment za wadau MB zinaenda sana please...
Nimesikia kutoka kwa mdau mmoja nimefurahi sana, kwa kuwa C++ imeliwa kichwa yafaa kwa mwaka wa kwanza na course zingine sio AI.
HONGERENI WALIMU WOTE MLIO SHIFT TO PY...
Wakuu msaada wenu hapa.
Nina laptop yangu niliiacha kama miezi nane bila kuitumia baada ya kununua nyingine, sasa leo nimeiwasha ikawa ianawasha tuu taa zake na kuzima, pia haileti hata mwanga...
Salamu sana kwenu JF experts na sisi wengine ma newbies.
Najichanga bajeti alau niwe na around 350k hivi. Kwa sasa imebakia kidogo tu ili itimie hiyo bajeti.
UHITAJI ni kwamba napenda kujifunza...
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera.
48 mega pixers
4GB Ram
Memory 64 GB
Battery yake 5000 Mah
Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane...
Habari wana JF,
Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing.
Je, ninunue laptop ipi?
Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya.
Mfano...
Hizi simu ni nzuri lakini cha kushangaza hazipatikani Tanzania kwa urahisi, tofauti na majirani zetu Kenya.
Tatizo ni nini? Maana kwa jinsi zilizvyo adimu ukizikuta kwenye maduka machache ya...
Habari za muda wakuu,
Nina Xiaomi redmi a8 imeanza kuniletea shida toka jana.
Kuna muda inakuwa ina staki kama sec 5 hivi au inakuwa nzito ku touch.
Haina shida yoyote kwenye kioo.
Naomba...
Kuchagua simu haswa hizi za smartphone ambazo zinakaa na chaji muda mrefu yaweza kua mtihani mkubwa kwa watumiaji wa simu, wengi wamekua wakilalamika sana chaji lakini ujio wa power banks...
Naomba mrejesho kwa ambaye ameshatumia decoder mpya za antenna za azam. Nahitaji mrejesho hasa upande wa muonekano wa picha,radio stations, kukwama kwa picha wkt wa mvua na upepo.
NB. Ni kwa...
Msaada jamvini wakuu.
Nimenunua simu second hand ya korea ni nzuri sana, ila kasoro yake nikiweka line ya halotel au ttcl haiungi internet, vodacom ndio imekubali.
Nifanyeje ili ikubali zote?
Wataalam wa it naomba msaada.
Nimetumiwa simu mpya (Samsung)na rafiki yangu aliyeko Pretoria.
Huyu bidada kanunua hizi simu mbili kwa mtu tu mtaani.
Ila katika maelezo yake nikagundua jambo...
Habari wakuu napenda mnijuze kuhusu hili Natumia laini yangu ya voda ****377457
Nataka nipate laini ya halotel ****377457
Namaanisha special number. ningependa kufahamu huduma hii ipo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.