Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa muda sasa nimekuwa nikitumia SSP kupata taarifa za salary. Ila hapa katikati kama miaka mi2 nikawa sijaingia hivyo nimesahau password. Nikiingia forget password sipati email ya kureset. Namba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za jukwaani wadau? Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kurudisha laini iliyopotea na pia jinsi ya kutengeneza spesho namba. Asante Ijumaa Mubaraq
1 Reactions
38 Replies
23K Views
Mimi sitakaa nikasahau enzi zile za mabundi night ya Voda ambapo sh.200 ulikuwa unagonga unlimited internet kuanzia saa nne usiku hadi asubuhi. Tulienjoy sana wajanja night. Na baadaye ilipanda...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari👋 Naomba mnisaidie Links za kupakua Series/Movie hizi kutoka Channel za Disney na Nickelodeon. Nimejitahidi kutafuta links nimeshindwa, Tinker bell zipo tano ni muvi Pia naombeni Links ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wajuvi wa haya mambo naombeni briefly ya mchakato mzima unaofanyika mpaka kutengeneza video script ya animation ... Hizi modern animation
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba msaada kwa mwenye kuijua vizuri sound bar tajwa hapo juu ubora wake na madhaifu yake Ahsanteni
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kama mada inavyojieleza, hivi kuna app ipi au program ipi hata ya kulipia ambayo unaweza set ikawa unaitumia kuifuatilia simu yako kwa kutumia imei namba yake? Ikawa inakupa location ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habari Nimekuwa interested kujifunza na kutengeneza Animation cartoon, zile short videos. Ila changamoto ni kwamba sina computer wala IPad. Naomba kuuliza, je naweza kufanya hivyo kwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za humu wadau tayari nilishatengeneza site kwa kutumia platform ya osclass sasa nataka nitengeze app sitaki kupata muonekano wa site kuna template moja nimeiona kwenye platform ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninahitaji kujua iwapo ninaweza kuweka memory card kwenye card reader kisha nikaichomeka kwenye tv kama tunavyofanya na flash kwa ajili ya kuangalia movie. Nimebaini flash nyingi ni za ovyo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mtandao wa Instagram umeboresha mifumo yake ili watu wazima wasiweze kuwapata watumiaji waliochini ya miaka 16 Akaunti za watumiaji wadogo zitajiweka ‘private’ ili watu wazima wasiweze kuwaona...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kuna mtu ana huo ujuzi naomba tuwasiliane pliz.njoo pm
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Wakuu Habari ya nyie, nahitaji kuagiza simu aliexpress ila sio mzoefu sana, make nilipoagiza mara ya kwanza kwa ajili ya kupata uzoefu ndo nilibaki njia panda, niliagiza kitu cha dollar 1.5 tar...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa dharura Mwenye imeg ya hizo window mbili anicheki anitumie kwa hii email ya mughangagroup1@gmail.com
0 Reactions
7 Replies
907 Views
Wataalamu wa technologia kuna simu inaitwa Oppo Reno 5 ninetokea kuipenda sana japo.sijawahi kutumia simu za aina ya Oppo. Kwa muda huu natumia Samsung galaxy a50 lengo langu nataka nipate simu...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
Habari za muda huu wakuu, naomba Kama bango linavyojieleza hapo juu natafuta professional IT aliyeko Dsm tuwasiliane Kuna kazi nimpatie ya kufanya malipo negotiable hakuna tatzo kulingana na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu khabari zenu wakuu. Mko salama? Naomba kujua endapo nahitaji kufuta comment(s) hapa JF. Mfano nimemuuzi mtu kwenye comment na hajapenda kile nilichoandika je nikifuta ile comment, itaondoka...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Habari hiki kinaitwaje na kazi yake nini wadau?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nnahitaji kutoa Frp na kuunlock network ikiwezekana na kudisable ADMIN CLIENT if posible.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
simu zetu zina mambo mengi sana ya siri ambayo watu wengi wanayachukulia kawaida tu ila kiuwasilia kila simu zinapo tengenezwa kuna sehemu nyeti uitwa black door (malngo wa nyuma) ambao...
13 Reactions
27 Replies
14K Views
Back
Top Bottom