Habari wanajukwaa!
Kwa wenye uzoefu Na vifaa vya solar naomba mnijulishe kampuni zinazotoa bidhaa nzuri za solar kama vile panel, battery, inverter Na controller. Je kuna mtu ameshawahi kutumia...
Kisimu changu Itel It6910 kuna uwezekano nikatumia Facebook Lite au WhatsApp?
Je, kuna uwezekano wa ku-update Java Version?
Je, kwanini Apps nyingi zinagoma ila kwenye simu za batani zinakubali...
Aseeh lain yangu ya Halotel imegoma ghafla kusoma kwenye simu both smartphone na kitochi
Je, hili tatizo ni kwangu tu au kuna aliepata shida kama yangu?
Habarini wakuu!
Nahitahi kununua laptop kwa ajili ya matumizi mbali mbali ,Mimi ni mgeni kwenye masuala ya PC.
Nahitaji kujua niangalie vigezo gani? Brand ipi ni nzuri katika matumizi ya hapa na...
Voda wameleta option ya kuset speed ya internet, kuchagua low ama high.
Hii inamaanisha nini, na kabla ya hapo tulikuwa tunatumia speed gani?
Nanusa harufu ya kuibiwa hapa.
Simu yangu Canon 15 Air..Tecno..
Nimeitumia miezi miwili..tatizo lake..
Ikifika saa sita kamili usiku inakaa flight mode yenyewe..
Sasa hivi siwezi kuongea na wala kutumia video call kwenye...
WhatsApp wameweka kiwangao cha washiriki (Group member) kuwa ni 256.
Ni nini siri ya hii number 256 kwa WhatsApp.
Yaani kwa nini 256 na sio 255,254 nk.
Najua wangeweka number yoyote pia ningehoji...
habari zenu wakuu
naomba kuuliza kwa wajuzi wa online martkets
ninataka kuagiza xiaomi mi 11 ultra (133$) kupitia AliExpress hivo unaomba kufahamishwa ubora wa bidhaa zao pamoja na uaminifu na...
Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa.
Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps...
Wazee wenzangu wa kufunga madishi mnapataje michongo hapa mjini dar es salam.
Njaa imekuwa kali kwangu tangu nimefika mjini hii fani sijafanikiwa kuifanyia kazi.
Hii meseji imekuwa ina pop up kwenye iphone yangu mara kwa mara. Hata sasa hivi nilipokuwa ninaandika hii thread ime pop up tena.
Msaada:
-Madhara yake yapi ikiwa “Trusted” au “Not Trusted”...
Habarini wadau napenda kujua njia youote ile nayoweza kuifungua simu ya android without loosing data yaani ikifunguka isifute chochote msaada tafadhaali ni muhimu[emoji120]simu ilikuwa ya mzee...
Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna...
JINSI YA KUWA MILIONEA KTK DUNIA YA TEKINOLOJIA:
Wakuu habarini za Leo.
Napenda kuwapongeza wadau wote waliomo humu ndani ya group Hili, mimi binafsi natambua michango yenu ktk kusaidia na...
Habari wakuu,
Straight to the point, tangu majuzi simu yangu imeanza tatizo ambalo linanikera mno na kuninyima raha. Unaweza ukadownloadf app vizuri, issue inakuja kwenye ku-allow app...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.