Wajameni mnitoe tongotongo mwenzenu. Nimekuwa nikiona hizo alama za E, G na H kwenye simu hasa kama simu ipo kwenye intaneti.
Zikionekana E na G basi lazima netweki inakuwa chenga balaa, ila...
Wakuu habari, naombeni msaada kwa anayeijua simu aina ya Huaei mate 33.
Nilinunua kwa mtu ,wakati nainunua yeye alikua anaitumia na alikua anatumia laini ya malawi.
Sasa nikiweka line zetu hizi...
MAKALA: MJASILIA MALI KUWA MILIONEA NA YOUTUBE
youtube ni nini?
YouTube ni tovuti ya kushirikisha video ambazo watumiaji wanaweza kuzinakili na kuzigawa kwa wengine. Wafanyakazi watatu wa zamani...
Habari zenu wakuu na poleni na majukumu, Leo ningependa tujue umuhimu wa I RESCUE BAG Kwa Fundi Computer Na Simu, Vitu Hivi Ni Muhimu Sana Kwa Fundi Yoyote Anayetaka Kutoa Huduma Express, Delivery...
Hbr Wana jamvi!
Natamani Sana kujua kufunga madishi nimejaribu kutafuta wapi wanafundisha hii kozi kwa dar lakini bado sijapata, kwahiyo naomba anaejua wanapofundisha anielekeze au Kama Kuna...
Hosting (kwa kiswahili) ni mfano wa flash! Kwenye mtandao ni sehemu ya ambayo data zako zote huhifadhiwa,kama images,videos, files nk.
Ni kama flash yako inavyohifadhi vitu ,na flash huwa na...
Katika makala hii tutaona jinsi ya kufollow (kufuata) watu, kurasa au makundi uliyounfollow kwa pamoja bila ya kutembelea kurasa ya kundi moja moja na kuanza kulifuata.
Kuna muda hupendi ukurasa...
LEO Nitawaletea namna ya kuhack GOOGLE PLAYSTORE alafu kudownload apps za kulipia bure kabisa
NOTE:AM NOT RESPONSIBLE FOR ANYTHING HAPPEN TO YOUR PHONE OR YOURSELF
I SHARED JUST FOR FUN
VITU...
Asalam wakuu natumaini wazima.
Kuna simu Samsung s6 inazingua accessibility ya internet kila nikijaribu ku surf inanambia unblock Samsung internet first hata nikitumia wi fi mziki ni...
AIRPLANE MODE Ni mfumo uliopo katika simu zetu janja(Smartphone)laptop na iPad.
Aiplane mode huwakilishwa na alama ya ndege inayopaa, mfumo huu unapokuwa umewashwa kwenye kifaa chako Cha...
habari zenu wana jf
naomba ushauri kutoka kwa wazoefu wa online marketing hasa kupitia kikuu maana kuna mzigo nataka kuagiza ila sina uhakika na ubora wa bidhaa zao na ukweli kuhusu features...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.