Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, hizi task bar sielewi nini kimetokea computer haipo katika hali yake ya kawaida. Msaada wenu tafadhali CHIEF MKWAWA kcamp
1 Reactions
5 Replies
620 Views
Wataalam wa tech, Nimekuja ninahitaji kufahamu kidogo. Juzi kati kimenitokea kitu ila kimenishangaza kuna mtu amenipigia simu namba naifahamu vizuri tu maana ilikuwapo kwenye phonebook yangu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu nisaidieni hili maana Apps nying znakuja na matangazo yani yananiboa kinoma tena utakuta nyngne zmefunikwa kabsa. dowoad app inaitwa "adclear" itafute google haiko playstore. hii app ikiwa...
0 Reactions
336 Replies
62K Views
Msaada nikiwasha computer aina ya HP inaleta hii error message halafu inawaka ila baada ya muda ina stuck huwezi kufanya chochote. Ukiforce kuzima kwa ku unplug then plug Power inaunguruma feni...
2 Reactions
4 Replies
976 Views
Processor katika simu ni kifaa ambacho huchukua maelezo kutoka kwenye software na kufanya kazi za kimahesabu na kimantiki pamoja na kutoa na kuingiza vitu ili simu yako ifanye kazi kwa ufanisi...
21 Reactions
80 Replies
40K Views
Simu yangu ni Tecno K9. Nataka kufanya back up ya contacts zangu kwenye google akaunti yangu. Nisaidie nafanyaje. Nimesoma google hainipi ninachokitaka. Please assist.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
1. True Caller 2. ES file 3. Keep 4. WiFi Map 5. Translate 6. VPN 7. WPS 8. Screen Recorder 9. Photos 10. Shazam
16 Reactions
239 Replies
36K Views
Rasmi: Instagram imeanzisha "Live Rooms" sasa unaweza kwenda live na watatu. Kupitia live rooms utaweza kuendesha tukio mubashara huku ukiongeza watu zaidi, jumla ya watu wanne wataweza kuonekana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashkuru sana kwaajili ya hii package ya net kiukweli inasaidia sana
0 Reactions
8 Replies
661 Views
Me ni mwanafunzi mwaka wa pili Sasa nachukua bachelor of information technology naomba msaada kuhusu kuifaulu technology
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Hp probook 6475b . Processor AMD 2.70 Ghz . Ram 4Gb . HDD 200gb
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wa jamvi, nahitaji msaa wenu hata ushauri tu unatosha, Nina sabufa aina ya Sunder ilikata sauti gafra baada ya dogo kufungulia volume kubwa, sasa ikawa haitoi sauti kuanzia kwenye besi na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? Kuna simu tajwa hapo juu imezima ghafla haichaji na Wala haitambuliki na computer (windows7,windows10),Je shida n nn? Natanguliza shukrani
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hizi game zinakubali hata kama computer yako ina RAM chini ya mb 200 1. Half life 2 2. NFS Underground 2 3. Far Cry 4. Doom 3 5. Zuma's Revenge
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi unaweza kutumia playstore kwenye PC kama kwenye android? Na je kama ndiyo unawezaje kuinstall hiyo playstore. mim nilijaribu kutumia blueStacks lakini sielewielewi naona kwenye kusign in...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau naombeni link ya og insta kwa wenye kuifahamu ambayo iko kwenye sasisho jipya (update) maana kila ninayopakua haifungui video, msaada. Sent from my TECNO K7 using Gazeti Lite
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KWA YOYOTE MWANA JAMII FORUM AMBAE ANAWEZA NISAIDIE ILE AUDIO UPIGWA(BACKGROUND AUDIO) VIONGOZI WA KITAIFA WAKIAPISHWA NAOMBA ANITUMIE DM AU ANAYEWEZA KUKATA KUTOKA KWENYE VIAPO (KUI CROP)...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam Kifaa tajwa hapo juu nimetafuta sikipati na wengine wananiambia niagize. Ninachotafuta ni video sender ya kuchomeka kwenye video camera na kwenye laptop au tv kwa kutumia Mini Hdmi kwenye...
0 Reactions
5 Replies
922 Views
Wataalam wa IT kama mnavyojua instagram kwa sasa imevamiwa na mahackers ambao wamekuwa wakiiba account za instagram mara kwa mara,nawakaribisha wataalam watufundishe mbinu za kulinda account zetu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom