Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo 1.Magari madogo ya Japan - $30=30 × 2195=Tshs.65,850/= 2.Magari size ya kati- $50=50 ×...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Naombeni majibu Kama mada inavyojieleza hapo juu!
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Maguru wa I.T Nilikuwa yahoo group na wenzangu, ambapo december 15 2020 .Yahoo wamefunga groups. Nawezaje ona (kupata) emails za wale members niwatumie jumbe mmoja mmoja...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Habari. Kwa kipindi cha karibuni nimeanza biashara ya udalali wa magari pikipiki simu vitanda na vitu vingine used hapa Dar. Nimekutana na changamoto ya kupakua picha zilipostiwa FB ili niweze...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habarini wadau. kuna sehem haina umeme na inalazimu kutumia torch kwa ajili ya mwanga, sasa hii tochi ina battery moja na kila siku inabidi uweke battery mpya. hapo kwa mwezi ni kama elf 15...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu kusaka kasimu ka bei rahisi kule AliExpress kwa kampuni ya Samsung, Nikakutana na LG V20 refurbished yenye Ram 4gb na Rom 64gb, network 4G-LTE, CPU ya Qualcomm snapdragon...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Please help me with a download link or site
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, Caps-lock ya PC yangu aina ya TOSHIBA imezima ghafla baada ya kushusha window 10 kutoka window 8.1, Mwenye ujuzi wa kunisaidia naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba kupata hiki ninachofikiria, nahitaji kuwa na database yenye uwezo wa kuona kila mtu ambaye nimemhifadhi kwenye hiyo database, ionyeshs jina lake, anwani yake na picha yake. kifupi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalamu habari zenu, i hope mko poa, Heri ya mwaka mpya wote. Eti ndugu zangu naomba kuuliza kwa wale watumiaji wa iphone eti ni kweli iphone kuna games ambazo ukicheza una earn real cash...
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Mambo vp wakuu? Naomba kufahamishwa na wajuvi kuhusu huu mnara na wapi naweza upata hapa Tanzania na kwa bei gani?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa wanaohitaji kuanza maisha kwenye mazingira tofauti nafasi hiyo. https://www.businessinsider.com/finland-relocation-remote-work-tech-90-day-finn-program-2020-12
1 Reactions
1 Replies
771 Views
Natumai tuko vizuri wadau, Nina changamoto yaku login kwenye account yangu ya Twitter almost wiki ya 2 sasa. Nikijaribu kwa mda mrefu inaandika authorizing ila lastly inaandika error, kwenye...
0 Reactions
4 Replies
851 Views
wakuu nilikuwa natengeneza attendance system ambayo nataka ichukue data kutoka kwenye biometric attendance system kwenda kwenye system yangu ambapo hizo data nataka nizifanyie manipulation ili...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube 1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu mambo vipi Nina Samsung S6 tablet, sasa nilisahau password so nikaamua kureset Sasa shida inayokuja after everything inanitaka niingize e mail na password ambayo hiyo password nimesahau...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu ni application gan nzurinaweza kuitumia kuhack hizi paid apps mfano za betting,ukiachana na Luck patcher?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Kama kichwa hicho cha uzi kinavyojieleza hapo juu Ni kwamba hiyo simu ilidondoka kwenye maji mtoni ikaja kupatikana baada ya saa kama 1 hivi baadae Je, kuna uwezekano ikarejea hali yake ya...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Wadau naomba kuuliza; kununua simu kwenye maduka ya jumla kuna hasara yoyote ikitokea ina tatizo? Maana ukinunua duka la rejareja leo ukirudisha unaambiwa itengenezwe upewe kwanini usipewe mpya...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
fahamu jinsi ya kuondoa Window activation kwa kutumia product key Kuna njia nyingi za kuondoa Window activation leo nimewaletea njia rahisi isiyo kuwa complicated kwani ni rahisi Kila mmoja wetu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom