Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Toyota Kluger V Baadhi ya maswali yaliyoulizwa na Wadau Wapendwa naomba mwenye ufahamu wa hili Gari anisaidie kulijua. Ulaji wa Mafuta Uimara wake. Friendship na Mwendeshaji. Spare. --- Msaada...
0 Reactions
114 Replies
69K Views
Wakuu merry Christmas [emoji319] Dstv kwa sasa channel za kibongo kuna wasafi tv, tbc na maisha magic bongo, hzo ndo zinatuwakilisha vzr dstv. Zingine zilizobaki zinafeli wapi?? Au ndo zmeingia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi, moja kwa moja niende kwenye title ya mada nimekuwa nikisikia hii kitu ya kuhard reset simu ila sijawahi pata ufumbuzi kamili naomba kwa anayefahamu vizuri hii kitu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni software gani ambayo ni easy kufanya hard subtitling, yani ninamaanisha kufanya srt, au ass file kuwa completely merged na mp4 video. Nimekuwa nikitumia MKVnxtool lakini inachokifanya ina work...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Naomba anaefahamu ni njia gani naweza kutumia kulipia matangazo ya facebook anifahamishe tafadhali.Nina page yangu nataka niitangaze
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hongera Chama chetu pendwa CHADEMA kwa kushinda tuzo za Tanzania Digital Awards, Category ya 'Best Political Party Use of Social Media' Pongezi nyinyi kwa team nzima ya CHADEMA Media kwa kazi...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari, Wadau PC yangu (Dell) haifungui browser yeyote ile mfano Mozilla, opera na Google chrome. Nifanyeje?
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu Nawasalimu, Hiii teknolojia ya encyption huwa inanipa maswali mengi san. Kuna teknolojia mabalimbali kama MD5 na SHA-256 ambazo unaweza kutengeneza keys mbili. Moja ni private key ambayo...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Unapoingia kwenye mtandao, kompyuta yako mara moja itapewa cookie. Cookies ni faili za maandishi zinazoitambulisha kompyuta yako kwa mtambo wetu wa mtandao unaohifahdi kumbukumbu zote (server)...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia simu ya Tecno phantom six plus ilia anguka ikapata mushkeli kidogo nikapeleka kwa fundi ikasetiwa fresh sasa kumbe kidude cha kuchomekea phone kimezngua nimefika home ndio nimejua iyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Release Process Preparing for the Signature File Configuring the Signature Information Building Your App Releasing Your App to HUAWEI AppGallery Releasing Your App Release Process To release your...
1 Reactions
0 Replies
576 Views
Wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, nina rafiki yangu mchina ameulizia hiyo bidhaa kama inaweza kupatikana nchini. Baada ya ku google nimeona ni kitu kinacho husiana na udongo/ madini, kwa wale...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamaa yangu amepokea ujumbe wa sms toka airtel ukisema sim card yako inataka kufanyiwa swap. Kama hujaomba huduma hiyo piga no 100. Baada ya kama dk 5 line ikawa haisomi tena. Kufanya swap...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nilikuwa nina app ya fb kama wiki iloyopita nikaifuta kwa simu yangu sasa hivi ndio ninataka kuirudisha kila nikidownload wakati wa ku install inazingua tatizo lipo wapi hadi messenger na yenyewe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari! Nina mobile wifi ya Tigo kwa miezi 6 sasa kasi ya intaneti haijakidhi mahitaji(stationary ndogo desktop 5,smart tv 1 & simu janja 4) kuna huduma ya SUPA KASI kutoka Vodacom link:-...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naombani msaada wenu Usiku wa kuamkia leo nimeibiwa room kwangu Sim mbili, laptop na wallet ikiwa na kitambulisho cha Chuo kikuu cha Dodoma, kadi ya Bima ya Afya na hela ndani ya wallet...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
When you have connected to a Wifi network and so on and sometimes forget the password you entered to connect to that Wifi. Here's how to review it There are many cases when you are connected to a...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo asubuhi nikaona ni play nyimbo za Xmass kwenye simu yangu Kufungua Google play Music nikakutana na ujumbe “......is no longer available” Na kunitaka nihamie Youtube Music Nimeidownload hapa...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalumu kwa kujifunza programming language but kwa kuanzia na C Language. Why C Language. large operation system written on c even mostly compiler are written in c its basic foundation...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa, Natumia TV aina ya TCL na wakati nanunua nilisikia wakisema kuwa unaweza kuweka antena na ukapata free chennels sasa leo nikasema nijaribu nikajarib kuseach nikapata kama...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom