Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana jamii forum nima simu sumsung s8 ndo nimeanza kuitumia sasa nashangaa kila nikiwasha data kuna application zinakuja nidowload maana inaandika download app afu inakuja na makelele ajabu...
0 Reactions
4 Replies
679 Views
Naombeni msaada nahitaji follows wengi na like nyingi instagram 2k hadi 1ml mwenye ujuzi huu naomba anisaidie
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni channel yangu mpya nimeanza nayo nime ushauli nini ni improve https://www.youtube.com/channel/UCN4QnPaEDDrH0Al9UZtYmAw
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada wenu wakuu .. Hivi ni njia gani ambayo ni rahisi kupokea google adsense payments kwa hapa nchini kwetu Tanzania. Au ni njia zipi zinatumika kupokea malipo kutoka...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Wana jamii naomba kufahamu njia ambayo Google wanatumia kutuma Verification pin
0 Reactions
6 Replies
911 Views
Naomba kuelekezwa tatizo Ni Nini. Kila Ni kiprint picha inatoka na rangi nyingne tofauti km njano hivi. Printer yangu Ni Epson L805
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie...
1 Reactions
12 Replies
18K Views
Ingia google search kwenye browser yoyote! Andika namba ifuatayo,241543903 ukimaliza bofya Search! Kwa urahisi zaidi, chagua sehemu ya images! Kuna kitu very interesting ambacho hukuwa unakijua...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mwenye ufahamu juu ya hili nahitaji ku-download FIFA 2016 au 2017
0 Reactions
30 Replies
18K Views
Wataalamu hebu nifafanulieni hapa wanataka niwalipe au wanataka wanilipe?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba ushauri nifanyeje, laptop yangu(Dell) nikiwa nimeishika naitumia ikakurupuka mkononi na waya wa power ukachomoka ikazima. Wakati naiwasha inaleta option ya ku repair window maana ukiwasha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau naomba maelekezo juu ya namna ya kudelete usage data kwenye simu ili nipate nafasi zaidi. Kwenye screen shot apo chini namaanisha izo gb 14.7
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani Masada wenu ningeomba kwa wajuzi wa computer watoe fani Zao wanazozijua iliwaniwezeshe niweze kuzifatilia kwaaudani zaidi
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenye cm ya Android unaweza ukaingiza play store Kama haipo na je unaingizaje maombeni ufafanuzi
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii kwa M-Pesa MasterCard Nitaiita LoopHole Kama mnavyojua kampuni ya Vodacom wametuletea huduma nzuri ya kutuwezesha kufanya manunuzi mtandaoni kupitia huduma yao ya M-Pesa Virtual Card ambayo...
5 Reactions
23 Replies
6K Views
Nimehangaika sana na hii ishu kwa leo, kuna website ya vichekesho inaitwa ackyshar.com shida yangu ninachotaka ni scrape i links za directoriy ya vichekesho vichelesho vipo kwenye directory hii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu poleni na majukumu ya kila leo. App developers mimi sijui coding ila sio kwamba ni mweupe kabisa😃. No kidogo some basics zipo. Nipo hapa kutafuta developer tutakayeweza kupiga nae...
0 Reactions
8 Replies
755 Views
Salaam, kama una movie mbalimbali na pc games na upo dar es salaam naomba tuwasiliane ili tuweze kubadilishana, ninazo movie nyingi na pc game nyingi hivyo nataka zile ambazo sina. Kama unazo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
how to bypass window 7 loggin password
0 Reactions
1 Replies
544 Views
Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka...
1 Reactions
1 Replies
713 Views
Back
Top Bottom