Hili nimeliona kwa muda sana kwenye maisha yangu kama developer. Huwa sielewi nini sababu, ukiangalia orodha ya top programmers duniani, hakuna mweusi hata mmoja, iwe wa kutokea huku Afrika au...
Progamu za kupakua au kudownload zimekua nyingi sana siku hizi lakini watu wengi kwa sasa wanatumia programu ya IDM au Internet Download Manager kushusha vitu mbalimbali kwa kutumia Kompyuta zao...
Habari za kazi Wakuu..napenda kuwasilisha taarifa nzuri na zenye mwelekeo wa kukuza tekinologia mpya katika ujenzi kwa kutumia tofali na mashine za hydraform.nomba kuwajuza kwamba now days...
hey friend Thefreedom is here...
katika previous parts yani part 1 na 2 tulichek jinsi ya ku comprimize systems kwa kutumia netcat backdoor in deeper . Na tulifanikiwa check vitu vinavyofanyika...
Good morning wadau...Naweza kudownload wapi Graphisoft archicad 16 ya 32-bit online?maana nimetafta sana ninapopajua mm ila sijaipata. Architects naombeni mnisaidie kwa hili,archicad 17 pia...
Wakuu nimekwama kidogo
Kuna video nazi download kutoka YouTube
But kwenye computer zinaplay I mean desktop but nikisend kwenye flash zinagoma kabisa hata kufunguka
Support pls
Habari wadau?
Soko la IT Tanzania linahtaj specialists wapi hasa?
Kwa ninavyofahamu kuna nyanja mbali mbali ktk IT ambazo ni
Networking
Programming
Database
Storage technology
na kuna zingine...
Napenda kutambulisha kwenu Dar-es-salaam SVG Map code challenge ambayo utatakiwa kutengeneza ramani ya Dar -es-salaam katika mfumo wa SVG .Dhumuni la challenge hii ni kuwa na platform ambayo...
Habari zenu wakuu na watalaamu wa jukwaa hili la sayansi .
Nisingependa kupoteza mda ila tu niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi lililonileta eti kati ya brand hizi yaani LG , Samsung na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.