Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu napenda kuuliza jinsi gani unaweza ku upgrade OTA kwenye azam kwa anae jua
0 Reactions
2 Replies
4K Views
A graded series/ Land Of Easterners ROTATION Earth has been destroyed by war and no one lives on it anymore. The robots and the machines continue to function and serve human beings who have long...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Wanajamvi natumaini mpo vizuri! Niende moja kwa moja kwenye mada wadau, ipo wazi kwamba Samsung imekuwa ikifanya fizuri kwenye soko la simu za mikononi tangu robo ya kwanza mwaka 2012 ilipochukua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada kulingana na kichwa cha habari! Natumia win 8.1, mwanzoni apps zote zilikuwa zinafunguka (kufanya kazi kama kawaida). Lakini kwa sasa kuna bahadhi ya apps hazifunguk. Je, tatizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini jamani naombeni msaada jinsi ya kufanya mtandao wa 3G uwe 4G kwenye android
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu habari za mda huu, toka Jana nimekumbwa na hili tatizo yaani kila nikijaribu kuchukua screen shots kwenye simu yangu, nashindwa tatizo laweza kuwa nini?.
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mfano data zipo ivi Data zimejichanganya kwa majina kujirudia Juma 1 Aisha 2 Tom 1 Juma 3 Tom 2 Tom 1 Aisha 1 Njia gani natumia ili data zikae ivi Juma 4 Aisha 3 Tom 4 Note: nataka ni njia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tafadhali naomba Apk ya Gbwhatsapp kwa ajili ya iphone, nimejaribu niliyokuwa nayo kwenye techn imegoma, naomba mwenye hii kitu kwa ajili ya Iphone anisaidie, nimejaribu kudownload bila mafanikio...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kuna wale wazee wanapenda kutunga habari na kuisambaza kwenye magroup ya whatsapp na kudai imeiandikwa na tasisi flani au ni nukuu ya mtu flani, sasa mwisho wao umefika vinginevyo wataishia jela...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Namna ya kuinstall GBwhatsapp kwenye iphone Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
4K Views
katika pitapita zangu nikashangaa kusikia iphone 5s inapata toleo jipya la ios 12 je kuna ukweli au uongo simu ya mwaka 2013 mpaka leo inapata updates kweli ? iOS 12 will continue supporting...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nna simu yangu TECNO K8,haijatumika muda mrefu kama mlezi miwili...ilikua off na betri ilizima kwa muda wote huo.. Leo imechajiwa na imewashwa na imewaka lakini imebaki kwenye logo ya tecno kwa...
0 Reactions
3 Replies
556 Views
Habari. Wana JF naomben Naomben munielekeze jinsi ya kutoa pesa kutoka Google AdSense maana nimeona Kuna ki pick. Payment kwenye Western Union ilio kalibu na eneo nilipo ndan ya sku 60...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Eleza tatizo ujifunze kutatua tatizo la Simu hiyo upande wa software.Ukijua kimoja ndio njia ya kujua kingine.
2 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau poleni sana majukumu ya kila siku... naombeni program ya microsoft office plz... ahsante natanguliza shukrani
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni kuhusu hili Natafuta maduka yanayouza PCB za kutengenezea circuit za amplifier yanapatikana wapi sana sana kwa singida wakuu nisaidieni asante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dell yangu imasumbua kwa kweli mpaka nataka niipasue,inawaka kwa dakika mbili then inazima, tatizo Nini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kuna programu inatumika kwa sasa kwaajili yakuunga baadhi ya mambo embu nipeni ufafanuzi
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wadau,kumekuwepo malalamiko kuhusu signal kua hafifu kwenye visimbuzi hivi vyenye mfumo wa KU band sasa dawa tufanyaje ili kuepuka changamoto hii?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa tuliobahatika kupanda ndege, natumai tutakuwa tumeona haya: 1.Wakati wa kupaa kwa ndege, huwa kunakuwa na hali fulani kama vile moyo unacheza au unapasuka. 2. Kwa wale waliopanda ndege...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom