Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Skills zote zipo !! WhatsApp : 0752182934 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanzilishi wa kampuni ya kutengeneza antivirus ya mc cafe bwana john macafe amesema amefanikiwa kumfahamu bwana santoshi nakamoto ambae anaaminika kuwa ndiye mwanzilishi wa cryptocurrency ya...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
kichwa cha habari cha husika....kama unauwezo wa ku locate ku trace simu kwa kutumia imei ama kujua simu inatumiwa na nani kwa sasa tafadhali cheki pm tuyajenge asante
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba mnisaidie namna ya kudivert call na sms kwenye simu ya mtu mwingne ili simu na sms zake ziwe zinaingia moja kwa moja kwangu kuna mtu amenambia nikipiga **21*no yangu kwenye cm...
3 Reactions
23 Replies
27K Views
Wakuu habari zenu. Naomba niende kwenye lengo mahususi bila kupoteza muda. Ninapata changamoto kwenye simu yangu tangu niiwekee memory card majuzi juzi baada ya storage yake mama kuzidiwa...
0 Reactions
0 Replies
589 Views
Wadau msaada tafadhali.Napenda kujua nikitaka kuanzisha kufundisha ufundi Simu upande wa software kuna taratibu gani za kuzifuata ili kusaidia na wengine pia katika ujuzi huu?.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni ushauri maguru wa gadgets, ninafikiria kununua ipad pro, nataka device ya pili mbali na laptop yangu. Swali linakuja, is it worth it? na kama nikinunua, nichukue ipi kati ya WIFI only au...
1 Reactions
2 Replies
802 Views
Wadau msaada tafadhali.Napenda kujua nikitaka kuanzisha kufundisha ufundi Simu upande wa software kuna taratibu gani za kuzifuata ili kusaidia na wengine pia katika ujuzi huu?.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu nataka kununua king'amuzi ila sijafam, kwa sasa ni king'amuzi gani mnaweza kunishauri ninunue kwa kuangalia ubora wa huduma na garama pia?!
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Kwa kawaida cds setting zinakuepo pale kwenye connectivity lkn nafungua hapa sioni msaada tafadhali kwa anayejua pa kuzipata Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
2 Reactions
94 Replies
13K Views
BBM ni mtandao maarufu wa kijamii wa kwanza ulioanzinishwa mwaka 2005 kabla ya mitandao maarufu ya kwanza kama vile Watsapp ,facebook,instagram na mingineyo kuundwa. Blackberry Messenger maarufu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama inawezekana naomba mtu aniambie namba ya malipo ya halotel.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naombeni msaada kilielewa hili neno "Cookies" kwa upana hasa kwenye kwenye internet , n.k
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha Jerry Muro amesema mtuhumiwa yoyote atakayetajwa kuhusika na kumpa mimba mwanafunzi (mtoto) katika wilaya hiyo hatapewa dhamana na badala yake atakaa...
0 Reactions
4 Replies
564 Views
Wakuu nahitaji mtaalam wa IT , kuna kazi hapa ya online business Sifa zake.... 1.awe na laptop yake 2.awe mtanzania wa mkoa wowote 3.asiwe na kazi nyingne na 4.umri kuanzia miaka 20 hadi 28...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada kwa mtu anayejua kurudish acc ya insta coz ilijilog out yenyewe wakidai kwamba nmepost vitu ambavyo sio so wamei disable.kuna screenshot nmeeka below. T. I. A Updated...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu Ebana nimeshusha hiyo game hapo na inafanya kazi kama kawaida, ila sasa nataka kuweka mods za Buses ndio mtihani unakuja hapo. Kuna video nimecheki jamaa anasema nikishazishusha hizo...
1 Reactions
1 Replies
852 Views
Niaje wadau kama kawa... Ninazo tp link mr 3420 blue 2019 NEW GUI modern router + umiversal modem nauza (NEW) FEATURES 1. Inatumia modem ku connect kwa network 3g and 4g 2. Ina both 3g and 4g...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom