Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wanabodi habari kwenu, Naomba kusaidiwa nimetengeneza bootable flash kwenye Windows 8 nimefanya installation vizuri lakini nimejaribu Ku format flash nimeshindwa mwenye uelewa nawezaje format...
0 Reactions
5 Replies
664 Views
Wataalamu naomba msaada jinsi ya kupunguza MB ukisha rekodi video kwenye simu. Yaani narekodi video ina dakika 1 tu, lakini ina 40mb. Sasa nifanyaje ili iwe na mb ndogo? kama hizi video...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mambo vip wakuu ni matumaini yangu nyote Muu wazima Kiafya na poleni na majukumu mliyo nayo. Lengo la kuandika Uzi huu hapa jukwaani ni Kuomba ushauri na maoni yenu juu ya Blog hii niliyo nayo...
0 Reactions
8 Replies
920 Views
Wadau,natafuta relay ya volts 9.5, miguu 6. Tafadhali ni dharura.
0 Reactions
4 Replies
580 Views
Habari wana jamvi. Naomba kuuliza kwa waliowahi kutumia hizo simu za tecno N8 na Huawei Y3II. Napenda kujua ipi ni simu bora kwa kila idara kuanzia ukaaji wa chaji, ukubwa wa memory, processor...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Msaada imezima ghafla haiwaki tena,
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Nimefanikiwa kuipata package ya continetal kwa kutumia king'amuzi cha Zuku ila tatizo channel hizi sauti inakata kata ila picha ziko safi tatizo nini wadau?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
habari wakuu! naomba msaada wa kuweza kuunga laptop na copier canon ir3300 "n" ili niweze kuprint direct nimeshapata crossover cable ila nashindwa jinsi ya kufanya installation na driver zipio...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Ndugu mwana jf please husika na kichwa cha habari hapo juu . ombi langu nikutaka kujua tatizo ni nini? na inasezekana kutengenezeka? na inawezekana kwa bei gani ikiwa inawezekana? Ni ayo tu msaada...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Habari wakuu Natumia window 7 proffesional service pack 1 build 7601,sasa kuna baadhi ya drivers zipo out of date na zinasababisha pc haifanyi kazi vizuri, drivers zenyewe ni INTEL CHIPEST...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba ushuhuda wa aliyepata premium adsense Aliipataje? Katika mazingira gani? Bado anaitumia? Tofaut yake na adsense za kawaida ni ipi? Natanguliza...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari Wana JF Napenda kuchukua nafasi hii kuwatangazia wataalamu wa kutengeneza Website ya Kampuni. Ni kampuni itakayohusika na mauzo ambayo wateja wataweza kulipa kwa kutumia Mobile Money...
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Habarini Wadau, Natanguliza shukrani zangu kwenu nyote nina swali hapa kidogo ningependa kufahamu ni Jinsi gani naeza pata acount ya AdSense hata kama cjatimiza vigezo tafadhali kwa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari zenu vijana na wazee Kuna hii mambo ya kufanya kazi online na mwishowe wanalipa, kuna website moja nimejiunga hapa inalipa kwa kila ninapo click ads zao na wana lipa dollar moja hadi nusu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika habari zilizotawala uwanja wa Tehama kwa wiki hizi ni habari ya Snowden, mfanyakazi wa shirika la usalama la marekani (NSA) pia ni muajiriwa wa zamani wa CIA aliyelikisha taarifa za siri...
5 Reactions
146 Replies
13K Views
Habari wana JF, Mimi nilikuwa nahusika na (website) huko UG, sasa kwa hapa Bongo kuna swala la (zipcode) ni gumu sana na hata sijui nijanzeje maana ukiweka lazima waangalie sshemu uliko na...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Pc aina ya lenovo screen brightness haiongezeki niki press keybord ya kuongeza na wala hapunguziki ni press key ya kupunguza.
0 Reactions
4 Replies
739 Views
Facebook ni chiboko kwa kweli, sasa naweza kutazama Arsenal yangu live kupitia facebook. Yaani Arsenal ileee live bila chenga tena ukitumia voda ni bure kabisa bila bando yako kuliwa. Usiogope sio...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Nguvu ya betri yangu ya laptop imepungua ghafla na sasa haiwezi tena kutunza moto zaidi ya nusu saa,rafiki yangu mmoja amenieleza kuwa ukitumia laptop ikiwa imechomekwa kwenye umeme bila kuondoa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Back
Top Bottom