Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ni Mtanzania, naitwa Panjilwa Chiwaligo (Chiwal). Kumbe nilikuwa nimechelewa! Sikujua, pengine ushamba au ..... Nimetonywa na jamaa kuhusu JF na kweli hapa ni mtungi wa elimu, burudani na kila...
0 Reactions
5 Replies
769 Views
kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia post zenu, zenye challenge za ukweliii, nimeamua kujitupa ndani ya janvi hili kwani uvumilivu umenishinda nimeona nami nitoe mchango wangu wenye niaya kudai...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Yap swager za ukwel nakupa,nakuchana ukweli twende mkono uckimbilie chupa,nachapa nyama zilzonona ucnpe mifupa,na kwangua kwa kucha,i track maboya inawashusha,npe ile k2 ya arusha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
To b active in good things is a gift from God,i believe
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana JF! Nimefurahi kuwa member wa familia hii.
0 Reactions
8 Replies
846 Views
Pa pa pa paaaaaaa..........aa nimewapata wana JF pa..papa.,.pamoja sana.
0 Reactions
9 Replies
955 Views
Mzee wa JF!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hello People, Just wanted to introduce myself in this forum.BTW, have been following up discussions and news for sometime without registering but now i wish to be a member!! Cheers!!
0 Reactions
9 Replies
858 Views
Pa pa pa paaaaaaa..........aa nimewapata wana JF pa..papa.,.pamoja sana.
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Jamani hodi humu!! Mgeni naomba kujitambulisha kwa wenyeji....! Nimekuwa nikichungulia dirishani kwa muda sasa, nikaona niingie sebuleni ili nipate kujifunza mengi zaidi! Naamini mnanikaribisha...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Hello wana JF, Nime appreciate hili jukwaa ni bab kubwa. Im glad to be part of it.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hodi mabibi na mabwana,naombeni mnipokee jamvini kwenu.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana JF! Nimefurahi kuwa member wa familia hii.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
da ebwana najifil nahitaj manolej yenu na niwatupie maeksipiriens yangu ingawa sio mzoefu nikaribishen wadau nijaze ma head.ngo ngo ngo.
0 Reactions
5 Replies
749 Views
Natumai wana Jf wote wa zima. Mnipokeee.
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Natumai wana Jf, wote ni wazima na buheri wa afya habarini nyote.
0 Reactions
6 Replies
813 Views
Kufikiri, kuibua hoja na kuwasalisha mawazo ni sehemu ya upeo wa akili yangu, mi ni mdau wa Siasa,Elimu,Teknolojia,Uhusiano na mapenzi. Nawaombeni wana JF mnipoke kwa mikono miwili hooodi!!!
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Hodi Jamvini Humu, Heshima zenu woote jukwaani. Miaka mitano iliyopita mwezi kama huu na tarehe kama Bongo Pix Blog ilizaliwa, post ya kwanza iliwekwa katika blog, hayakuwa maamuzi mepesi kuanza...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
habari za kazi wana jamii hongereni kwa kazi za ujenzi wa taifa wengi mnafahamu kuwa mimi ni mgeni jamii forum inaweza ikawa kweli ...mimi ni mgeni wa ku post thread ila co mgeni wa jamii forum...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kila chanda chema huvishwa pete.jf.idumu wana jf hongereni. Kiukweli ninayo mengi yakusema. Ila kwakua nimgeni,napenda nitosheke na hili la kutambulika, kama mwana jf. Hai. Kiukweli nimefarijika...
0 Reactions
10 Replies
908 Views
Back
Top Bottom