Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Naomba kukaribishwa katika Forum hii!!!!!!!!!! Wenyeji mpo?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Najiuliza hivi nani jeuri kati ya pesa na sisi masikini nakusaka kila siku unaniambia hupatikani, nauza mwili unakuja kidogo.........n.k
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hellow, i'm coming in,nimekuja kuwashika take care n'takupoteza.teh teh te te te!
0 Reactions
14 Replies
989 Views
heshima mbele wana jf,naombeni mnipokee nami niweze kuwa mmoja wa familia hii! Asanteni sana nategemea ushirikiano wenu kwa pamoja!!!!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hodi!!!!! Wenyeji nipokeeni! Wakubwa shikamoni,na wadogo marhabha!!!!
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Hodi mpaka ndani, Mimi ni mgeni japo sultani, nahitaji kukaribishwa na kushauriwa. Kama sultani majukwaa yote yananifaa, lakini mnaona jukwaa gani litanifaa zaidi?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
mimi mgeni katika uwanja huu wa wanajamiiforum,hivyo naombeni msaada wenu kwa nyie wenyeji
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Naomba mnipokee,mgeni apa ndio nimekuja leo,japo nilikuwa napita tu,lakin ndio nimeingia rasmi,aman na upendo wana jf wote na wanaharakati wote
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamani hamjambo humu, jamani nilijiunga hapa wiki 2 zilizopita ila nilikaa siku nne tu nikala BAN na ndo kwanza kifungo kimeisha. Naombeni sana muwe wastarabu msitusababishie wengine BAN. Kuna...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimekuwa nasoma post humu ndani.JF ipo juu.Nami mnifungulie mlango.
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Duh! Hatimaye nimeingia.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zanguni mimi ni mwana JF mpya nomba niwape hongera kwa kulisukuma mbele jamvi hili la JF.Naomba tushirikiane ili tuzidi kulipeleka mbele jamvi hili maana ni la muhimu sana katika kupashana...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
msaada wenu wahitajika wajameni
0 Reactions
27 Replies
2K Views
wadau nilipewa BAN ya miezi miwili nimerudi tena .. nipokeen!... kule jela kubaya SANA...... hakufai!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
hallow,.. am in nw.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
wandugu kwema nimeamua kujitosa ndani ya jf nina furaha sana
0 Reactions
10 Replies
1K Views
nilikuwa BUGUMYA,
0 Reactions
13 Replies
1K Views
I just want to say HI!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
najisikia raha sana kuwa na wanajamvi, toka siku nyingi nimekua guest now am the member, thanx wote nawapenden sana!
0 Reactions
6 Replies
802 Views
Ndugu zanguni mimi ni mwana JF mpya nomba niwape hongera kwa kulisukuma mbele jamvi hili la JF.Naomba tushirikiane ili tuzidi kulipeleka mbele zaidi jamvi hili maana ni la muhimu sana katika...
0 Reactions
9 Replies
912 Views
Back
Top Bottom