Hallo,
Binafsi huwa napenda sana
Kuangalia hizi thriller movies, tena ukutane na wale madairekta wajuzi
Wa kucheza na scripts, kila tukio linafuata unatamani kujua nini kitachofuata huku ukiwa...
Sina maneno mengi. Kwa wale wapenda good music waliofanikiwa kusikiliza japo vipande kidogo vya hii album watakubaliana na mimi kwamba ni album kali kuwahi kutokea.
Album imesheheni collabo ya...
Kwanza niweke wazi kabisa, EMINEM ndiye mwanamuziki wa HIP HOP ninayemkubali kuliko mwanamuziki mwingine yeyote wa HIP HOP, yaani ninamkubali kiasi kwamba nikiona "list" yoyote inayohusu...
Kwa macho ya harakaharaka inaonyesha kuna mamilioni ya kutosha yapo kwenye intertament!
Naomba mnisaidie ni ABC gani nipitie na Mimi niwe promoter ama meneja kwenye hii biashara!?
Never waste your time, never let you go
Talk down, back-to-back, you're the best I know
Oh yeah, you dey blow my mind
Blow my mind, blow my mind
For your love, I go change my life
Change my life...
Kwa wale wapenzi wa comedy..kuna hili kundi la mark angel comedy from Nigeria. Ndani ya kundi utakutana na wakali kama uncle Mark, Emanuella, Chikwamecka.. na wengine....
Kwa kweli vijana wako...
Leo nipo na The Brave
Taja series/movie ya kimatrkani ikionyesha mmarekani anavyopambana na ugaidi.Hasa Midleeast syria,iraq,afghanstan huko kunakuwa ni shida!
Tupia hapa!
Hizi taasisi mbili Simba na Yanga ni team zenye washabiki na wanachama wengi zaidi ya Chama chochote cha siasa hapa nchini,.. Mwekezaji mmoja mwenye hisa 49 ana nguvu na sauti kubwa sana katika...
Hatimaye baada ya Homecoming jamaa wameachia Timeline ya project zao zinazofata!. Tutaanza purukushani za Cinema mwaka ujao (2020) mwaka huu unapita.
Tuliokuwa tukiisubiri Guardians of The Galaxy...
Mtunzi:Juma Hiza
0712988278
Nilikutana naye Mlimani City supermarket. Alionekana kuwa msichana mrembo sana, kuanzia sura yake ya kuvutia, umbo la namba nane, chuchu saa sita yani alikuwa ni...
Hivi karibuni kumeibuka tabia ya hawa wasanii kuwaimbisha watu waliotoa viingilio vyao kwenda kuwaangalia wakiperform kwenye stage. Binafsi naiona hii tabia kama kero na dhuluma kwa mashabiki na...
Kwa mtazamo wangu kwa nyimbo zote za kizazi kipya cha sasa hizi zinabeba ujumbe mzito na ambao utaishi muda mrefu kwa maana siasa na H.IV/AIDS ni masuala mtambuka.Hongereni prof na Ferooz kwa...
Abdul akiwa ameshangazwa na kitendo hicho cha mwalimu mlemavu kutembea karibu kilometa tano toka Bagamoyo mjini hadi hapo, alijikuta akishawishika kumpeleleza. Abdul, kwa mwendo wa kunyata...
Wakuu kwema
Muda c mrefu nimetoka kwenye mihangaiko yangu kwenye banda la chipsi.
Kwa sababu muda umeenda nikaamua kupita mtaa Fulani shortcut ili niwahi kufika gheto kwangu (mtaa mwingine)
Nikiwa...
Haya kwa wale wapenzi wa muvi kutoka studio za marvels tukutane hapa..
Mashabiki wa Avengers Team na Justice league Team.
Tujuzane muvi zitakazotoka kutoka Studios za marvel.
Superhero walio...
Karibu ufuatilie hasa kwa wale ambao hamumjui nduli Idd Amin.
Hii makala imenikumbusha vita vya Kagera, kina January na Nape walikuwa shule ya vidudu zama hizo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.