Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu...
Wakuu mambo vipi ile movie ya sister marry iliyofungiwaga na body ya filamu Tanzania
Kisa haina maadili inadhalilisha kanisa katoliki hatimaye imeachiwa huru
Daaah! Movie moja kaliii sana
Humu...
Kwa gamers wa ukweli watakua wanaelewa hii.
Baada ya Michael kufake his death for 10years, Trevor agundua kua Michael yuko hai. Aamua kumfata nyumbani kwao ili kumuua lakini, Kutokuepo kwa Tracey...
Banshee
Game of thrones
Vikings
Iris
Sixflying dragons
American Odyssey
Power
Gangrelated
The 100
The originals
Vampire diaries
Money heist
Blacklist
Strike back
Bodyguard
Into the badland
The...
Leo sina mood kabisa ya kufanya chochote, nimejaribu kuangalia movies naona nashindwa. Kwa wadau wenzangu wa movies, ebu tupeane maujanja, ni movies gani huwa huwezi kufuta kwenye pc yako? Ni...
Katika pitapita zangu Facebook nimekutana na hii kitu nikaamua niilete hapa jukwaani.
Naomba uitaje movie quotation yoyote ile ambayo akiisoma mtu mwingine atajua hiyo ni movie ipi.
Kwa mfano...
Huu ni uzi maalum kwa wanaJF kuweka Nyimbo Wanazohisi ni nzuri Ajabu na Zitaishi Milele. Mtu ukitaka kusikiliza Nyimbo zilizoenda Shule Huu uzi utakuwa unakuhusu sana. Maana Kila mtu ataweka list...
1. Game Of Thrones
Seriously, mtu unaishi bila kuangalia game of thrones, i wish niifute akilin af niiangalie tena, tuzo yake ya best series in century ipo palepale
Hii ndo best series kwa yoyote...
habarini wanajamvi natumai niwazima waafya.kwmudamrefu nimekuwa nikitafu wimbo wasanura ulioimbwa na marehemu tongolanga.naomba jamani mwenye nao anitumie. Naupenda sana
Oohhooo it's me agaaain! Comrade kipepe mzee wa nyika, KING OF THE JUNGLE! Leo teeeena nipo mitamboni hapa jf kwenye moja na mbili! Nateleeeeza kama nawinda swala
Hahaaha ebanaeeeee! Leo mzee...
Habarini wakuu,Hope weekend inaenda poa....Hivi kuna anayejua hii movie Girlfriend waloigiza akina TID,JayMoe,Monalisa wapi inapatikana maana iliyopo YouTube kuna baadhi ya vipande havina sauti...
Jamani ni tamthilia ya kichina na imetafsiriwa kwa kiswahili ni tamthilia nzuri sana na inafundisha sana, inaonyeshwa channel ya star swahili ndani ya star times jtatu hadi ijumaa kuanzia saa 12...
Mimi nina uwezo wa kuandika hadithi nzuri, ninachohitaji ni jinsi ya kuwakilisha kazi zangu kwa wasomamaji na kingine ni mwandishi wa hadithi ananufaika vipi na kazi zake.nahitaji msaada wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.