Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jana sikuweza kuangalia news kutokana na pilika pilika za mjini, na usiku kama ada hatuku bahatika kupata mgao wa Jairo na Ngeleja. Nimestuka na kufadhaishwa sana baada ya kusikia redioni ETI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Toen matokeo bac,,2jue mme2panga wap
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Serikali ya Zb imeanza utaratibu wa kutoa bei elekezi kwa bidhaa muhimu kwa mlaji kama ngano na mchele. Atakayekiuka kufungiwa leseni na kuchukuliwa hatua za kisheria. Sisi (Bara) tumekalia bei...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa idara ya uhamiaji inahusika na biashara ya kuuza binadamu,,,,taarifa ambazo leo zimeripotiwa na gazeti la nipashe zinasema kuwa baadhi ya maofisa wa uhamiaji...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hawa Airtel sasa wananipa mashaka, nimeweka tsh 2000 nimeongea sek kama 20 imekata na hela imeisha, nikaweka tsh 1000 nimeongea sekunde chache imebaki tsh 71. Hiyo sh 71 haitaki kwenda kokote...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Baada ya kusoma makampuni bora kwa ulipaji kodi Mheshimiwa Spika, Nitumie nafasi hii kuwapongeza baadhi ya Walipakodi Wakubwa kwa Serikali na ambao wamefanya vizuri kati ya kipindi cha mwaka...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Napenda kujua wadau hivi hizi nauli za hapa jijini ni nani hasa msimamizi, Labda ndio wanasimamia barabara kuu tu siye wa pembezoni mmmhhh. MFANO Nauli za Banana kuelekea Mwanagati, Kibeberu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
If you don’t have a friend from ‘the lakeside’, you are missing out on a serious part of what makes Kenya They have a flamboyant nature and sense of style founded on three tenets, pakruok (self...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habar JF!<br /> Muda wa saa kumi leo jioni nlipanda dala dala la kutokea mwenge kwenda Tandika DCM lenye usajili T 741 AEG (MOCHANA). Kumbe dereva kalewa kinoma...abiria wamelalamika kuhusu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii itakuwa habari mbaya kwa waitimu wengi wa CPA Tanzania maana report wanazotoa haziendani na mafunzo waliyopata wamejiingiza kwenye wizi na mabo ya siasa A Disclaimer of Opinion, is issued...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndo natoka hapa muhimbili kumwona mgojwa huwezi kuamini hakuna umeme, na generator yao ni mbovu, sijui inakuwaje ndo maana wakinamwandosya wanaenda India! hii nchi watu wanaofikilia ni wachache...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tz ni mshirika mkubwa wa marekani na Marekani ndio ilio kuwa engine ya vita vya kuondoa utawala wa Gaddafi, na tusinge weza ku mpinga Marekani kwani kila kitu tuna tegemea kutoka kwake, misaada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Itatuchukua muda sana hadi tuje tushuhudie mawaziri na baadhi ya wabunge wakilala hadi udenda ukiwatoka,,,,,haya mambo yalikuwa yakionekana exclussively kwenye BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana niliomba statement CRDB, nilikutana na makato ya ajabu. Mlolongo huu wote huwa mnatuibia. Card Fees TZS 3000 ATM Withdrawal charge TZS 500 COMM EFT TZS 1500 Monthly Maintanace Fees...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeshindwa kuwajulia hali nyumbani toka saa 11 alfajiri salio nililokuwanalo limeibiwa!!! Nimejaribu kuongeza salio limeibiwa tena nimerudia tena nimeibiwa nimechoka nimeamua kuacha pasipo kujua...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
hivi, we nape ! hizo staili zoko za kujibu jaha na maswali yakuandaliw azitaisha lini?tumechoka na siasa kivuli zisizo na utekelezaji.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tupeane taarifa, kesho ni siku kuu au kibaruani kama kawaida.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Napenda kuliweka hili hapa jamvini kama zawadi ya Eid kwa kila mwana jamvi Eid Mubarak Katika taasisi nyingi hapa Tanzania wafanyakazi wao wanavaa na wanaruhusiwa kuvaa mavazi yanayolingana na...
2 Reactions
45 Replies
7K Views
natanguliza shukrani. wanajamii nawaombeni msaada kujua wapi naweza pata huduma ya maintenance and repair gari dogo gx100,wife kaparamia ukuta mlango wa dereva umebonyea na umejam haufunguki kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom