Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Its supprising that some of Tanzanians ranked JK as one of the hondsome pres in Africa. However, "In politics we presume that everyone who knows how to get votes knows how to administer a city or...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Leo tena imetangaza bei mpya za mafuta! Haruna masebu ndiye aliyetangaza bei mpya!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa huwenda aliyekuwa kiongozi wa Libya bwana Gadaffi ametorokea nchi jiran ya Algeria,mwanaharakat mmoja ambae alihojiwa na shirika la Al-alam amesema kuwa magari ya delaya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
irishtimes.com - Last Updated: Friday, August 26, 2011, 09:20 A passport photo of Hana Gadafy, the adopted daughter of Muammar Gadafy, which was among documents discovered by The Irish Times in...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wandugu wote mlioko katika mkondo wa njia ya huyu "mdudu" Irene.........tunawaombea ili msalimike..............kwa wengine huko NC poleni na I hope mmesalimika. Mkulu William...........hope...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani, kwa yeyote ambaye anamfahamu Saikolojist hapa Arusha, msaada tafadhali, naombeni nisaidieni contacts. Sipo vizuri kabisa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hawa wanahiisi tu mgao wa umeme arusha sidhan kama w anapata adha ya mgao chichemi chana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuingilia na kulinda personal interest za kundi, watu au mtu fulani na kuchafua jina la Zitto Kabwe kila mara, heshima na hadhi ya gazeti hili inashuka na kupungua kwa kasi sana hapa mkoani...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Epidemic Hazard: Measles Outbreak - Zanzibar Date / time: 26/08/2011 17:35:53 [UTC EDIS Number: EH-20110826-32106-TZA Event: Epidemic Hazard Area: Africa Country: Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sudan man forced to 'marry' goat A Sudanese man has been forced to take a goat as his "wife", after he was caught having sex with the animal.The goat's owner, Mr Alifi, said he surprised...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania's proven natural gas reserves have more than doubled to now stand at 7.5 trillion cubic feet following more discoveries off its coast, regional trade bloc East...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Lengo ni kutaka kujua nini kinaendelea Hebu jikumbushe hapa chini Kaburu wa kampuni ya uranium katika kashfa nzito ya ubakaji Mwandishi Wetu Ruvuma 15 Jun 2011 Toleo na 190 Abaka visichana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jf naombeni ushauri nimsaidie nimpatie swahiba wangu.. Anasimamia mirathi ya kaka yake ambaye ni marehemu,tatizo ni kwamba huu ni mwaka wa 3 tatu sasa, anazungushwa wakati kila kitu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida polisi mmoja kule Mara amempiga risasi kiunoni na kumuua mtuhumiwa mmoja wa ujambazi aliekua anakimbia. Mtuhumiwa huyo mwenye jina la Ochieng' pamoja na wenzake wawili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mazungumzo yaliyomalizika bungeni hivi karibuni, yalipelekea wawakilishi wa Z'bar kukanusha kwamba, kamwe hawawezi kuwa koloni la Tanganyika! Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana JF Wakuu mida ya jioni nimepita maeneo ya Ilboru, nimekuta sheli ya kampuni ya Engen imewekwa barrier, polisi pamoja na maaskari wa kampuni ya ulinzi wamejaa pale wanalinda. sijajua tatizo...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
jamani maujuzi yangu haya..msije mkaiga ukiiga unapasuka msamba......just click hiyo link na unaweza kutazama star tv. nilkuwa nimepamiss sana bongo.... Star TV from Tanzania, News, Sports &...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu Nawasalimu! Kuna hii Radio Tumaini inayopatikana ktk masafa ya 105.9FM (kwa Dar) ambayo hupiga rekodi za kizamani (zilipendwa) kwa muda mwingi. Binafsi ni mpenzi wa nyimbo za zamani zile...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mjadala kuhusu itikadi za vyama,'Tanzania tunayoitaka',unaendelea live hivi sasa star tv.Mjadala unahusisha vyama vya Chadema,cuf na CCM.Mpaka sasa game ni 2(CUF&CCM) VS 1 CHADEMA,ni vita ya (CUF...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Back
Top Bottom