Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nahitaji kujua kama kumbi za cinema zishafunguliwa / zinafunguliwa lini quality centre mall...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
hi wanaJF sasa unaweza kusikiliza TBC FM online. tembelea site yao www.tbc.go.tz then angalia upande wa kulia utaona listern tbc fm live bofya hapo, TBC taifa nayo wameandika live ila sijaipata...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kiongozi wa kambi ya upinzani leo amevaa vazi la kanzu ambao ni vazi rasmi la ibada la waislam, hii ni ishara nzuri na strategy nzuri kwa mwenyekiti wa chama kilicho chafuliwa na siasa chafu za udini
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Imeandikwa na John Nditi, Mvomero; Tarehe: 27th August 2011 WANAFUNZI wa shule ya awali katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera, Tarafa ya Mlali, Wilayani Mvomero, wameshindwa kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
ameeeeeeeeeeeeeeennnnnnnnnnnnnn maoni yenu yatazingatiwa na tumeombe MUNGU atupe macho ya rohoni tuone mbali kuelekea utimilifu wa MUNGU
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba, Hassan Nasir amesema Sheria ya Kupiga Marufuku Kuingiza Vinywaji vyenye Kilevi katika kisiwa cha Pemba ya mwaka 1928 bado ipo na haijafutwa. Kamanda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jf, naombeni ushauri, nina milion 10, nifanye biashara ipi inayolipa, nina llb na ni mtumishi. Nawasilisha kwenu!
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Heshima kwenu wakuu, Sikupata bahati ya kufatilia bunge kikamilifu kwa sababu mbalimbali zikiwemo mgao wa umeme na mihangaiko ya kutafuta riziki. Kwa waliobahatika kufatili naomba mtupe uwezo na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwa karagwe kwa wiki kadhaa sasa, nimeshuhudia mengi. mojawapo ni maendeleo ya kasi ambapo hivi sasa kuna redio mbili za FM, Karagwe Fm na FADECO FM. kwa hakika zinafanya kazi nzuri maana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
26 August 2011 Kampala - After being disowned by his father and his wife Daniella threatened to divorce him, singer Jose Chameleon's has back-slided on his decision to become a muslim. Daniela's...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Gymkhana Yaripuliwa, Yachomwa Moto. Bar Maarufu 'Gymkhana' maisara na kikwajuni. Jumatano magharibi imechomwa moto na watu wasiyojulikana. lakini inasemekana watu wanne waliyokuwa wamevalia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Dear Br n sis KARIBUNI KUJUMUIKA PAMOJA KUPOKEA NDEGE YA B737/800 BRAND NEW KUTOKA BOEING COMPANY KESHO AMA MASAA MACHACHE KUTOKA SASA MJINI KIGALI KWENYE MIDA YA SAA TISA MCHANA..JUMAMOSI..HII...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
[SatNews] At a recent customer launch seminar, new services have been revealed... Vizada Networks will unveil new connectivity services based on the implementation of a sophisticatediDirect hub...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mmh rev,appostle gaga,firdtlady first born nk sijui wapinduguzangu ma wacha nisubirie ndge kesho jamani kgl yaani ni romantic weather tupu najuta kwa nini sikuja na mama ila nikoswafiiiiiii
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapenzi wana JF, vitabu vitakatifu vinatuambia kwamba Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake. Na wakati huo huo kuna msemo kwamba kazi ya Mungu huwa haina makosa. Kama hayo ni kweli na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani nilifanya mtihani necta wa ualimu ngazi ya stashahada may 2011 nimeufaulu vizuri! sifa na utukufu vina yeye milele na milele AMINA
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Moja kati ya mafanikio makubwa ya CDM katika bunge la mwaka huu ni CDM kuwasaidia Wabunge wa CCM kuwa huru na kutobanwa na kamati kuu ya chama (CCM) kama zamani. Mbali na kuanza kinafiki baadae...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani nimeitafuta hotuba hii kwenye wavuti siipati mwenye nayo atubandikie wengine yuko kwenye giza , mgao
0 Reactions
1 Replies
2K Views
there you go guys-check my avatar....just call 0652517588 anytime if you need 1.
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Halo wana JF, nauliza hivi kwa sababu kuna baadhi ya vitu vingine havijulikani kwa majina ya kiswahili. Mfano: Matunda haya kwa kiswahili yanaitwaje? Kwa lugha fulani wanayaita mafyulisi, na...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Back
Top Bottom