Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakati zoezi la upunguzwaji wa wafanyakazi ATCL likiendelea habari zilizotufikia hivi punde zinasema wakati majadiliao yakiwa yanafikia mwisho kumezuka mjadala mwingine na huku wengine wakitaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kuuliza vipi kuna arufu ya kutaka misamaha ya kodi hapa au ndio Tanzanite imekwisha?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
AKIFAFANUA kuhusu uingizwaji wa madawa ya kulevya nchini,kijana mmoja aliyewahi kutumiwa kama mvushaji wa madawa hayo(jina linahifadhiwa) ya kulevya alifafanua kuwa,mambo kama hayo hayawezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WORLD'S FATTEST GIRAFFE | Weekly World News
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATIBU wa Jumuiya ya Vijana ya Chadema (BAVITA), Anold Kamunde na aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema, Gervas Mgonja wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa kutumia...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
  • Closed
Yule Sheikh Mtoto maarufu kama Sheikh Shariff ambaye aliitingisha Tanzania kwa ufahamu mkubwa wa Qur’an akiwa na umri wa miaka tisa hatimaye amesalimu amri na kuokoka, katika kanisa la Pentekoste...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Sisi wananch tulio wengi tumefurah sn na tumeunga mkono hotuba yako kwasbb umeongelea vema katiba inayotakiwa tz lkn wamekuona umegusa maslai binafs ya wachache. WAMEKUTOLEA MANENO YA KUUDHI NA...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
I was thinking of becoming an alcoholic. Because one of the things I've always prided myself in, in these first 59 years of my life, is being a controlled drinker. I think now is the time to throw...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Nimeshindwa kuelewa ni bahati mbaya au ni kwa makusudi, nilikuwa najaribu kusoma tukio furani nimefungua zaidi ya mara tano napata message hii hapo kwenye picha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wiki hii huko huku Rombo TRA wamekua wakipita katika masoko kutokana na siku za masoko zilivyopangwa na wamekua wakikagua magari na pikipiki ambazo bado hazijalipiwa pamoja na leseni ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa hilli Luhanjo ametukatisha tamaa, inauma inauma inauma saana kwamba hakuna mawasiliano kati ya Rais wetu mpendwa na Luhanjo, Haiwezekani jana mtu anaingia ofisini (Jairo) na leo anatolewa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimepita leo wilayani sengerema mjini, nimeshtuka kweli kuona vikongwe ambao walistahili kukaa nyumbani na kutunzwa na familia zao, wakiwa stand kuu wakisubiri mabaasi ya abiria kwa kazi moja ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Suala la Luhanjo kutofautiana kimaamuzi na Boss wake Ikumbukwe pia Ofisi ya Luhanjo ipo IKULU, si ajabu hata makazi ni hapohapo! SIDE A. 1. Kama Luhanjo alifanya maamuzi bila kumjulisha Boss...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
JESHI la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ), linatarajia kuanzisha benki yake itakayowasaidia wanajeshi kupata mikopo ya riba nafuu, kwa ajili ya kuendeleza kipato na mitaji ya biashara zao...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Ni pigo kwa wanataaluma wa elimu ya juu.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Tiba ya Babu Imeleta Maafa - Chama Cha Madaktari Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapila Chama cha Madaktari nchini (MAT) kimesema tiba...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa asubuhi ninapoelekea kazini nikiwa barabarani ocean road upande wa baharini namuona mama mmoja na watoto watano hukaa hapo pembeni ya bahari toka asubuhi mpaka jioni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
EAST AFRICA HERALD: Steve Jobs and Bill Gates: It's complicated
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo moja (sijalijua sawasawa) la mkoani Singida, Mohammed Misanga amekurupuka kutaka kujadili mshahara wa waziri wakati kifungu hicho hakijafikiwa na wenzake walikuwa wanachangia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mchungaji mstaafu wa kanisa la Moravian huko Rungwe, mzee Mwakasege amefariki leo Hindu Mandal Hospital. Mzee huyo ndiye baba mzazi wa Mwl na Mhubiri maarufu Christopher Mwakasege. Ibada ya kuaga...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Back
Top Bottom