Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Duh hii ndiyo tz bwana, wakati kuna watz wanaishi kwenye dimbwi la utajiri wala bata kwenye ndege kila nyayo zao zikiwasha tu, leo hii kuna maeneo ktk tz hii wanauza mifugo yao kwa kipimo cha zama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
for more info visit:www.necta.go.tz
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Muwekezaji wa kichina wa kisangata sisal farm ya kilosa,asweka lupango kwa kumtishia mpishi wao kwa bastola.
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Bibi Mawazia Kibwana , mkazi wa Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera, Tarafa ya Mlali, Wilaya ya Mvomero, akitoa malalamiko kuhusu kubomolewa choo chake na kuwekwa kwa uzio wa seng'enge na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete Katibu mkuu kiongozi Philemon Luhanjo ambaye alitangaza kumrudisha kazini Jairo David Jairo akipongezwa jana David Jairo akiwa kazini jana Rais DKt Jakaya Kikwete...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
When people say that in East Africa we still don't have bloggers who make an impact, they are living in some hole. Blogging and citizen journalism in the region is making great headways. We have...
35 Reactions
129 Replies
16K Views
Hakuna aliyewaingilia wazanzibari wakati wakifanya mabadiliko ya katiba yao! Iweje leo kikundi cha wanasiasa wachache watuletee ubabe sisi wananchi wa Tanzania bara(Tanganyika) ati lazima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wakuu! Nimeona ni busara nirejeshe matokeo kama nilivyokuja kuomba msaada hapa jamvini (wale mlioweza kusoma thread "International Passport") ukiachilia mbali kuwa ni muda...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Kwenye habari ya leo saa 2.00 usiku, ITV wameonesha meno yapayo 1241 yakiwa yanasafirishwa kwa njia haramu bandari ya Zanzibar. Imeongezwa kuwa polisi walishtukia magunia hayo yaliyokuwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF Nimepata habari hizi na nimebakia nashangaa ila nikaona vyema ku share na nyie. Last week Ben Malisa alimaliza kozi yake pale Chuo cha Diplomasia na akaamua kupanga party ya kufa mtu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
*25.08.2011*|*02:00 UTC WASHINGTON Jarida la Forbes limemtaja kansela wa Ujerumani Angela Merkel kama mwanamke mwenye nguvu kubwa kabisa duniani. Jarida hilo limemueleza Bi Merkel kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Pamoja na perfomance ya utendaji kazi wa mtu, mavazi ni moja ya vipambo wakti mwengine vinamsaidia mtu kukubalika ktk hatua za mwanzo. Ndio! kama kwenda kwenye interview ya kazi ukavaa suti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Park mjini Nzega Mbunge wa jimbo hilo Mh Lukas Lumambo Selelii pamoja na mambo mengine alisema kuwa serikali isipowawajibisha watuhumiwa wote wa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Hakusahaulikwa kwani ndiye aliyetoa ahadi nyingi za ukwel kuliko kiongozi yeyote aliyepita, aliwashawishi akina female kuwa ni handsome wakampa kura za ndiyo, aliwakemea washikaji zake wasitumie...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jana nilikuwa nimekaa na mwanangu, kuna lile tangazo la kinywaji cha mountain dew, kuna yule faru anakuja kasi kwa jamaa aliye na kinywaji hicho, faru anapiga breki kali kisha natoa kitu kutoka...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Prime Minister, Mr Mizengo Pinda Tanzania has more resources compared to other member states in the East African Community (EAC), which ought to be fully utilised to improve living conditions...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Wana JF, Naja tena na muswaada huuu wa Pesa Mpya ambazo BOT walizi pigia debe sana kuwa ni za ubora na kiwango cha hali ya juuu saana na sio rahisi kughushi hizo pesa mpya. Mbali na hilo BOT...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Tbc one leo kwenye taarifa ya habari wamemuonesha kijana aliyeweza kuunda magari yake mwenyewe na anawauzia watu huko mbinga,ruvuma ameshatengeneza magari manne so far,na bei yake ni millioni nne...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
LEO ALFAJIRI MIDA YA SAA 11.30 NILIKUWA MAENEO YA AKIBA PALE CBE.KWA UPANDE WA PILI KWENYE OFISI ZA TaESA(WIZARA YA KAZI) PALE NIKAONA WANAPANDISHA BENDERA MUDA HUO,NILIVYOMWANGALIA ALIYEKUWA...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Kuna kiongozi mmoja wa ngazi za juu hapa nchini ana mkono wake kwenye makampuni ya mafuta so huyo ndo ameshikilia umeme. Anapopata anatoa mgao kwa viongozi wa juu. huu ni ufisadi mpya wananchi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom